Uliwaza nini???

Uliwaza nini???

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini???

Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini???

Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini???

Kupanda daladala wakati unajua huna nauli..... Uliwaza nini???

Kuwanunulia bia na kujifanya unazo wakati familia yako inalia njaa... Uliwaza nini???
........!!!!!!!!.......??? ...... Hivi uliwaza nini??????????....
 
kwenda toilet bila water wakati unajua maji yamekatika.....
 
Kuja na jamaa zako wakati umealikwa mwenyewe na huna hela....
 
Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini???

Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini???

Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini???

Kupanda daladala wakati unajua huna nauli..... Uliwaza nini???

Kuwanunulia bia na kujifanya unazo wakati familia yako inalia njaa... Uliwaza nini???
........!!!!!!!!.......??? ...... Hivi uliwaza nini??????????....

Kujifanya unampiga kibuti, na yeye akaona poa, poa, wakati yeye ndo unayempenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom