Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Unasemaaa!?
Wanawake tunapenda attention. Ukiwa unahaha mi kwangu rahaaaa
Wanawake tunapenda attention. Ukiwa unahaha mi kwangu rahaaaa
Akijibu ntagUnasemaaa!?
Huyu kenge amenifanya second plan
Kumbe eeeUkitaka kujua kuwa unayemfuatilia anakupenda mpotezee.
Akikutafuta endelea naye.
Akikupotezea unapoteza muda wako.
Kuna mtu mmoja nimempotezea toka 1st January naona mpaka sasa kimya
Wanawake tunapenda attention. Ukiwa unahaha mi kwangu rahaaaa
Kuna mtu mmoja nimempotezea toka 1st January naona mpaka sasa kimya
UNATAKA KUMUOA AU UNATAKA TU KULA MZIGO NA KUSEPA?!Habari ya jumapili wana MMU..
Niende kwenye mada kuwa jamani kuna mrembo mmoja hapa kitaa nilikua namuelewa sana kitambo hichoo ila kwa sasa BIG NO....
Kwa sababu nilimfukuzia karibu miezi nane aiseee.... Alikubali ila mzigo kutoa ilikua changamoto
Uswahili mwingi sana tena sio mchezo....
Nikaamua kumchana ukweli kwamba kila mtu na mishe zake aendelee nazo hiyoo usiku nilimpigia simu
Nikazima na kulala hee!
Asubuhi naona sms kwa fujo zinaingia tena sio mchezo kwamba Nisamehe yaishe ananiambia wewe ndio mtu pekee kwangu. .. ..
Anasema kweli najua nimekukatili kutokukupa KUPATA kwa sababu kuna jamaa nilikua naye ila namuona hana msimamo na upendo kama wako wewe ndio wangu Nisamehe
Kila siku kilio chake hichoo aiseee....
Nikasema kimoyomoyo kumbe hawa viumbe huwa wanaweka Plan B ya mtu wao special ehee....
Ila najiuliza kama alikua ananipenda why alikua hanipi mzigo
Nimemfuta kwenye ubongo namuona ananichora......
Share experience yako na wewe
Hahaha juzi Alinitafuta japo kijanja sanaMsikilizie kama week mbili tatu mbele ukiona kimyaa jua hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kumbuka muosha uoshwaWanawake tunapenda attention. Ukiwa unahaha mi kwangu rahaaaa