Uliwahi kukumbana na hili

Uliwahi kukumbana na hili

Anaekudanganya nani? Dudu na dyudyu ndo Linakoleza Mapenzi. We zungushwa Mwaka Mzima eti mapenzi ni Zaidi ya Dudu Wakati huo Kuna Njemba Inatafuna kiulaini..

Hizi ni hisia zako tu kuku akiwa wako bandani atarudi tu hata iweje tatizo fikra zako ziko chini ndomnapofeli
 
Hii naona from the comments ni Ligi ya unafiki vs ukweli,
Hard to get (game) but actually easy
Hide and seek but I know where u r.


Manipulation game
 
Hahaaaa......


Funguka mkuu
Mnazinguana ukweli haupo ivo bhana,
Miezi nane ulitaka kuoa au, kama ni ndoa ungeenda kwa wazazi kama anazingua

Usivunje kanuni
IMG-20190421-WA0024.jpeg
 
Watu mna mioyo ya uvumilivu kwakweli!
Miezi 8 kwa mwanamke mmoja tu!!!!!!
Habari ya jumapili wana MMU..

Niende kwenye mada kuwa jamani kuna mrembo mmoja hapa kitaa nilikua namuelewa sana kitambo hichoo ila kwa sasa BIG NO....

Kwa sababu nilimfukuzia karibu miezi nane aiseee.... Alikubali ila mzigo kutoa ilikua changamoto
Uswahili mwingi sana tena sio mchezo....

Nikaamua kumchana ukweli kwamba kila mtu na mishe zake aendelee nazo hiyoo usiku nilimpigia simu
Nikazima na kulala hee!
Asubuhi naona sms kwa fujo zinaingia tena sio mchezo kwamba Nisamehe yaishe ananiambia wewe ndio mtu pekee kwangu. .. ..


Anasema kweli najua nimekukatili kutokukupa KUPATA kwa sababu kuna jamaa nilikua naye ila namuona hana msimamo na upendo kama wako wewe ndio wangu Nisamehe


Kila siku kilio chake hichoo aiseee....
Nikasema kimoyomoyo kumbe hawa viumbe huwa wanaweka Plan B ya mtu wao special ehee....
Ila najiuliza kama alikua ananipenda why alikua hanipi mzigo

Nimemfuta kwenye ubongo namuona ananichora......


Share experience yako na wewe
 
Back
Top Bottom