Uliwahi kukumbana na hili

Uliwahi kukumbana na hili

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
423
Reaction score
434
Habari ya jumapili wana MMU..

Niende kwenye mada kuwa jamani kuna mrembo mmoja hapa kitaa nilikua namuelewa sana kitambo hichoo ila kwa sasa BIG NO....

Kwa sababu nilimfukuzia karibu miezi nane aiseee.... Alikubali ila mzigo kutoa ilikua changamoto
Uswahili mwingi sana tena sio mchezo....

Nikaamua kumchana ukweli kwamba kila mtu na mishe zake aendelee nazo hiyoo usiku nilimpigia simu
Nikazima na kulala hee!
Asubuhi naona sms kwa fujo zinaingia tena sio mchezo kwamba Nisamehe yaishe ananiambia wewe ndio mtu pekee kwangu. .. ..


Anasema kweli najua nimekukatili kutokukupa KUPATA kwa sababu kuna jamaa nilikua naye ila namuona hana msimamo na upendo kama wako wewe ndio wangu Nisamehe


Kila siku kilio chake hichoo aiseee....
Nikasema kimoyomoyo kumbe hawa viumbe huwa wanaweka Plan B ya mtu wao special ehee....
Ila najiuliza kama alikua ananipenda why alikua hanipi mzigo

Nimemfuta kwenye ubongo namuona ananichora......


Share experience yako na wewe
 
Back
Top Bottom