Uliwahi kufikiri jinsi watu wanavyoteseka katika dunia hii?

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,407
!
 

Attachments

  • 1476089402510.jpg
    1476089402510.jpg
    46.5 KB · Views: 80
  • 1476089414439.jpg
    1476089414439.jpg
    64.8 KB · Views: 76
  • 1476089432721.jpg
    1476089432721.jpg
    52.2 KB · Views: 68
  • 1476089440767.jpg
    1476089440767.jpg
    35 KB · Views: 68
  • 1476089452379.jpg
    1476089452379.jpg
    29.5 KB · Views: 84
  • 1476089464348.jpg
    1476089464348.jpg
    43.1 KB · Views: 65
  • 1476089473678.jpg
    1476089473678.jpg
    35.2 KB · Views: 74
  • 1476089481257.jpg
    1476089481257.jpg
    33.5 KB · Views: 65
  • 1476089490568.jpg
    1476089490568.jpg
    46.9 KB · Views: 67
  • 1476089500418.jpg
    1476089500418.jpg
    51.6 KB · Views: 75
  • 1476089517674.jpg
    1476089517674.jpg
    54 KB · Views: 83
  • 1476089526677.jpg
    1476089526677.jpg
    43.5 KB · Views: 75
  • 1476089535478.jpg
    1476089535478.jpg
    59.2 KB · Views: 82
  • 1476089549928.jpg
    1476089549928.jpg
    63.4 KB · Views: 65
Mgawanyo wa Raslimali za Dunia yetu hauko sawa umehodhiwa na Watu wachache wenye Tamaa.

Hatuna Viongozi wazuri/waadilifu, hilo likiondoka tutakua Salama
 
kila siku nawaombea kwa hawa huwa nawaza kuwa mungu kwanini aliwachagulia maisha yayo kwamba wao walimkosea nii?


hawa wanakonda kwa njaa mpaka wanafariki this is too much
Wanakonda kwa njaa wakati wewe unahonga vijana wadogo mpunga!
 
subhanallah.wenye nacho na kuwa wabinanafsi ndio hupelekea hali hiyo.sidhani kama binadam tungekuwa one love hali ingetisha kiasi hiki.usione hao hata hapa tanzania kuna sehemu hazijafikiwa watu wanaishi hivyo.nawasihi ndugu zangu wanajf kile chochote ulichonacho wakati mwingine msaidie na mwenye shida sie selfish ni laana hiyo
 
Ukiaanagalia hizo picha kwa umakini ni mpumbavu pekee ndio anaye weza kuamini mungu yupo.
 
Kila nkilala nkijifunika namshkuru mungu mana wengine hawana ata pa kujificha wakastirika seuze mahali pa kulala Na kila nkiamka kumpa mwanangu maziwa usiku huwa nafungua pazia kutizama nje Na kujisemea duh mama wengine saivi wanapigwa baridi Na watoto wao maskini hadi image inakuja...

Binadam tuwe tunashkuru kwa blessings za mungu alizotupa mana tukipata matatizo kidogo tu tunajisahau
 
michael jackson aliimba heal the world

watu wanaish maisha magum hamjui tu... ila chaajabu kuna watu wanapost utumbo mitandaon
bata
laxury kwa saaaaaaana
 
michael jackson aliimba heal the world

watu wanaish maisha magum hamjui tu... ila chaajabu kuna watu wanapost utumbo mitandaon
bata
laxury kwa saaaaaaana
wee ndo chenga kweli kwa hyoo mtu ushindwe kula bata kisa kuna wasomali sijui wa sudan hao wapo na njaa
 
Back
Top Bottom