Uliwahi kudanganywa na kumtumia msichana nauli halafu hakuja?

Na hawakuja tukutane hapa.

Ukweli inauma saana hawa wasichana wa fb nilikutana na mdada mmoja tu Kawa marafiki mwisho tukabadirishana mawasiliano ya simu.

Basi bana kuchat na nini mwisho tukaanza kutongozana hatimae nikajiona mshindi baada ya kukubaliwa.

Mtoto anakaa Arusha mie Dar huko na uku huko oh nitumie nauli nataka nije nikaona isiwe taabu hamsini hiyo oh bby kesho nakuja na mimi sawa.

Kesho yake piga simu piga sim hamna kitu nikajua nishaumiaaa sina hamu na madem wa kutumiwa nauli nimejifunzaaa
Umeliwa mkuu
 
Yani bado mnaibiwa kibwege hivyo?
 
Nashukuru sijawah liwa, nilimtumia mwanamke elf kumi toka chalinze kuja dar alikuwa mwaminifu anakuja nikawa namkula kila ninapohitaj
 
Hizi nauli ndogo ndogo za hapa hapa Dar washakula nyingi sana, elfu 20, 30 hizi, nyingi tu nimetuma na hawakuja.

Kutongoza mwanamke mtandaoni ni kama kucheza bahati nasibu, wengine natuma wanakuja, wengine hawaji. Wengine wanakuja kwa nauli zao, mambo yanakua hivyo.

Kuna mwingine wa Arusha, nilimtumia nauli, baadae akapata dharula akanirudishia pesa yangu kesho yake na akaomba radhi kwa usumbufu. Ingawa baadae alikuja nikamtafuna, sitamsahau maana alikua anafinyia kwa ndani navurugika vibaya sana.
Hahahahaaa
 
Mwaka huu ni laki na twenty imenitoka kwa wawili but mmoja tuu ndo alifika....wa pili namvutua kasi tyuu ipo siku...
 
Back
Top Bottom