Uliwahi kuchukiwa na mtu bila sababu..?

Uliwahi kuchukiwa na mtu bila sababu..?

Ajabu zaidi unaweza kuchukiwa na mtu ambaye hata hakufahamu vizuri, humjui hakujui na wala hamjawahi kukutana sehemu yoyote, Haya ni maradhi makubwa Sana....
Na wala hakuna muingiliano wowote katika maisha yenu, wala ratiba ya kukutana haipo! Watu wanaumwa!
 
Ndiyo.

Lakini huwa hakuna chuki isiyo na sababu.

Ni lazima sababu iwepo.

Cha kuchekesha zaidi, ni pale unapochukiwa na mtu ambaye humjui naye hakujui.

Let that sink in….
Mimi Kuna ndugu yangu ananichukia kisa simsaidii. Hilo tu. Nilikua namsaidia hapo awali lakini mambo yangu yakaanza kuwa magumu, watoto wapo shule, harakati za ujenzi etc. ikawa Kila akiomba hela Sina. Hiyo ni sababu ya kutosha kunichukia?
 
Pia mm nachukiwa na watu mpaka kuna muda nalia mana kuna ndugu wanataka msaada wangu wakati siwezi kaz yeyote nina kifua kikuu.
 
Mara nyingi sana wengi husema nawa overshined, licha ya kua humble na mcheshi bado kuna watu hutafuta sababu ya kunichukia.
 
Sema kama una pay attention sana katika kusikiliza watu utagundua chuki zao zimejificha kwenye kitu kinaitwa utani. Hakika kwenye utani anaoependa kuongeq kunaficha tabia za mtu sana
 
Ndiyo.

Lakini huwa hakuna chuki isiyo na sababu.

Ni lazima sababu iwepo.

Cha kuchekesha zaidi, ni pale unapochukiwa na mtu ambaye humjui naye hakujui.

Let that sink in….
Ni kama humu JF tuu, unaweza kumchukia MTU mnayependana Sana kitaa ila kwenye kuchangia mada humu unamchukua Hadi unatamani mzichape siku moja.
 
Ukiona una chukiwa bila sababu una black aura...ogea chumvi na mdalasini utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom