Ulitumiaje Mshahara wako wa kwanza?

Ulitumiaje Mshahara wako wa kwanza?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,406
Reaction score
19,361
Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.

Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.

Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (nlikuwa na degree ya uhasibu bila cpa, sikuweza kujiita muhasibu)

Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, 😁😁 kichwa kinawaka moto.

Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.

Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,

Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)

Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.

Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika

Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa

Vingine nmesahau

Vingine nimesahau.
 
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika kupata ajira, kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.

Mshahara wangu wa kwanza kuupata ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (kwa sasa ni mhasibu cpa)

Yaani unaanza kazi na mshahara wa take home ya mil. 1.4!! Kudadeki!! Yaani ni karibia mara 3 ya mshahara wa kada nyingine, mfano ualimu!!

Kweli duniani hakuna haki.🤔
 
Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.

Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika kupata ajira, kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.

Mshahara wangu wa kwanza kuupata ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (kwa sasa ni mhasibu cpa)

Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, 😁😁 kichwa kinawaka moto.

Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.

Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,

Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)

Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.

Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika

Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa

Vingine nmesahau

Vingine nimesahau.
Ngoja nikumbushie tu...!
1. Umeme 50k hivi
2. Maji kama 30k
3. Usafiri kama 50k
Pamoja na vizinga vidogo vidogo vya wanao wa kitambo na Ma Ex-Gal wako........ Huku wengine tukujisemea life is Harder.
 
Mimi nilianza na 1.2m ivi dah ilikuwa balaa hio ni take home Kwanza nililipa geto zuri fasta uzuri home nilitoka na furniture nilikuwa around 24 age, Niliona vitu vingi sana
Mpunga wa pili ulikuja na Over time ndefu
 
Dah unenikumbusha 2016 Mwezi wa 9 nilipokea mshahara wa kwanza nikiwa na miaka 19
Nikalipa kodi, nikanunua kitanda 5/6 na godoro, subwoofer, jiko la gas lile dogo alaf iliyobak nikabakiza akiba yangu sikuweza kuwatumia wazazi ila mshahara ulio fata niliutoa wote nikaugawa nusu nikamtumia baba nusu mama walifurahi sana

Ni siku moyo wangu ulifarijika sana kwakua mm ndo mtt wa kwanza ni siku nyingi nilitaman siku moja niweze kuiongezea nguvu familia yangu hata mzee akishindwa bas asiende kuomba msaada mbali
 
Mshahara 1,400,000/=
Home ulituma 500,000/=
Wewe ukabakiwa na 900,000/=
Swali langu huo mshahara wako ulikuwa hauna makato yoyote kama bima ya afya, NSSf, HESLB, PAYE.. ??
Mkuu take it easy, Mshahara unaotumika ni ule unaobaki baada ya makato 😁😁
 
Sawa afisa wa jeshi.
Si huwa mnapata take home 1.5m au imeongezeka?
Unashangaa 1.4 M baada ya makato?? 😁😁...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundi
watu wanavuta zaidi ya 1.5M baada ya makato

Lecturer wa chuo

wenye cpa serikalini

NGO's

Kampuni private kubwa kama mitandao ya simu, safari za mbugani, n.k

Jeshini (naskia ila sina uhakika)

Mashirika makubwa yabserikali kama BOT, TRA, BANDARI, NSSF, TANAPA, n.k huko nako fresh.

Halafu nakukumbusha tu, hawa bajaji wanaoingiza laki 1 hadi laki na nusu kwa siku sio wa kuwaachia chenchi 😁
 
Unashangaa nini...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundi kuanza na mshahara wa 1.5 baada ya makato ni kawaida tu

Lecturer wa chuo

wenye cpa serikalini

NGO's

Kampuni private kubwa kama mitandao ya simu, safari za mbugani, n.k

Jeshini (naskia ila sina uhakika)

Mashirika makubwa yabserikali kama BOT, TRA, BANDARI, NSSF, TANAPA, n.k huko nako fresh.

Halafu nakukumbusha tu, hawa bajaji wanaoingiza laki 1 hadi laki na nusu kwa siku sio wa kuwaachia chenchi
 
Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.

Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.

Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (nlikuwa na degree ya uhasibu bila cpa, sikuweza kujiita muhasibu)

Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, kichwa kinawaka moto.

Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.

Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,

Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)

Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.

Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika

Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa

Vingine nmesahau

Vingine nimesahau.
Hiyo ndoo JF bwana?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Unashangaa 1.4 M baada ya makato?? 😁😁...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundi
watu wanavuta zaidi ya 1.5M baada ya makato

Lecturer wa chuo

wenye cpa serikalini

NGO's

Kampuni private kubwa kama mitandao ya simu, safari za mbugani, n.k

Jeshini (naskia ila sina uhakika)

Mashirika makubwa yabserikali kama BOT, TRA, BANDARI, NSSF, TANAPA, n.k huko nako fresh.

Halafu nakukumbusha tu, hawa bajaji wanaoingiza laki 1 hadi laki na nusu kwa siku sio wa kuwaachia chenchi 😁
Jeshini ni nyoko... Usiguse kabisaaa kuna watu take home na malupulupu yote 4m
 
Hamna aliyetoa mzaliwa wa kwanza madhabahuni? wala fungu la kumi?

Ndugu zangu, mmekula hata yale mavuno ya kwanza tuliyokatazwa? Kwamba apaswa atolewe bwana?
 
Sijawahi kupata kitu inaitwa mshahara. Labda siku nikiajiriwa.
 
Back
Top Bottom