Mshahara wangu wa kwanza ulikua m3.5 fund kampun moja hv ya mhind mkataba wa muda mwaka mmoja unusu alipata tenda Helios ya kufunga minara na kufanya marekebisho,m2 alichukua dalal m1 alichukua mganga wa kienyej aliyenipigia ndumba mpaka nikapata mchongo baada ya kusota miaka nane tangu nihitimu,laki tano nikaenda kuichoma baa na washkaj kumlaan shetan na kuingiza akili mpya.Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.
Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (nlikuwa na degree ya uhasibu bila cpa, sikuweza kujiita muhasibu)
Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, [emoji16][emoji16] kichwa kinawaka moto.
Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.
Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,
Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)
Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.
Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika
Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa
Vingine nmesahau
Vingine nimesahau.
Unatoaje fungu LA kumi ikiwa pesa yenyewe haitosh mahitaj muhimuHamna aliyetoa mzaliwa wa kwanza madhabahuni? wala fungu la kumi?
Ndugu zangu, mmekula hata yale mavuno ya kwanza tuliyokatazwa? Kwamba apaswa atolewe bwana?
Mie niliishia kulipa madeni tu maana nilikuwa juu ya mawe kwa muda mrefu.Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.
Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (nlikuwa na degree ya uhasibu bila cpa, sikuweza kujiita muhasibu)
Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, 😁😁 kichwa kinawaka moto.