Ulitumia muda gani kumpata uliyenaye?

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,715
Reaction score
4,739
Habari zenu wanajamii.

Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple.

Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?
 
Atakae fuata wala simlazii damu!!!
Hizi fursa nyengine bwana,zina shawishi shawishi,ila wacha nipige moyo konde nisije nika chezea za uso,kesho nika iyona jamiiforum chungu kuingia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…