🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi 🚜🚜
Mixai Haina sukari sukar imekuwa adim hahahaWashington DC to New York nilitumia four good hours
😝😝😝😝
ama kwa hakika hii comment ime nifanya nicheke kwa kwel siku ya leoUsinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi [emoji609][emoji609]
Aisee,ulitumia masaa mangapi mkuuUsinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi [emoji609][emoji609]
Acha tu mkuu,Mungu hakunipangia siku hiyo.Afu ni mara nyingi nikipanda IT wanatembea speed hizoShukuru kwa kukikosa kifo
Speed 180kph kwa night ni kosa kubwa
Hahahah,mimi nakumbuka mwaka jana nilitoka Dom sa 12 jioni na Happy nation ya Mwanza,saa 5 na nusu chuma imeingia MbeziDar to Dom na matei ya Singida (ilikuwa mpya) tulifika saa 7 na dk 13 sijasahau hadi leo na Dar tulitoka 12 na nusu
Shabiby Dar to Dom saa 11 hii siku nilichukia na tulitoka Dar 12 na nusu..dereva alikuwa na kitambi mpaka nikatamani nikamfundishe jinsi ya kukanyaga mafuta
Dar to Arusha na premio masaa 4 na dk kadhaa
Dar to Musoma, nilitumia ungo wa bibi kwa dk 20 tu [emoji3]
Kampuni ganiNgumuo hiyo kahama dsm dereva sijui alikuwa kichaa alafu gari nyepesi nimeingia ubungo saa 3:45
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari private auDar- Mwanza....Masaa 48,Nililala Dom,nikalala tenaTabora.
Unakanyaga mwenyewe?Dar - mtwara siku zote natumia masaa matano ila wakati wa kurudi nachemsha natumia six hours sijajua sababu hadi leo ( mnyama voltz-manual)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni KM ngapi mkuuWashington DC to New York nilitumia four good hours