"Nilitamani niwe hakimu ni wahukumu watu wabaya hasa walio husika kwenye kifo cha baba yangu lakini nimeishia kua dakitari nayaokoa maisha ya watu hata wawe ni majambazi" (mwisho wa kunukuu)
Je wewe ulitamani kua nani?
Ndoto yako imetimia au haikutimia
Ni changamoto zipi ulikutana nazo?
Nawasilisha