Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Wanawake ni wengi kuliko wanaume,
Sio wote mtabahatika kuolewa,cha msingi uwe ma furaha....
Sio wote mtabahatika kuolewa,cha msingi uwe ma furaha....
Unique Flower m niko single mpenzMimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?
Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.
Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.
Good Evening.
Uzi ulitakiwa ufungwe hapa Asante bidada kwa kutufungia uzi wetu umemaliza kila kituNanyi qmbao hamja olewa acheni tamaa kwahi huwaga mnabakwa??? [emoji849][emoji849]Tena shobo zenu ndio zinawaponza UKIONA mbaba wa watu ana vihela kidogo hata HUJUI kavichuma na nani unaanza kujishobokesha
Nyie mwenyewe mnakauli zenu.....Mimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?
Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.
Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.
Good Evening.
Chezea wotee ilq sio wanaojitambuaNyie mwenyewe mnakauli zenu.....
"........mume wa mtu anajua kulea.......mume wa mtu anajua kucare.........",hizi kauli zenu zinazo ongozwa na tamaa zenu za fedha ndizo zina waponza so acha tu mchezee marungu ya kipepe.
Ni kweli waache kama wanahiyotabia mbaya ni mbaya ila waache watakuja jua tuNanyi qmbao hamja olewa acheni tamaa kwahi huwaga mnabakwa??? [emoji849][emoji849]Tena shobo zenu ndio zinawaponza UKIONA mbaba wa watu ana vihela kidogo hata HUJUI kavichuma na nani unaanza kujishobokesha
WeeeJina la mtoa mada tamu sana!
Anafaa kwa matumizi ya binadamu.