Ulitaka mwenyewe sasa tulia maji yameshamwagika

Ulitaka mwenyewe sasa tulia maji yameshamwagika

kati ya dhambi nyingi tuzifanyazo, zipo zingine ni dhambi, ila madhara hayafanani kwa sasaivi though at the end of the day adhabu ni motoni, ila zingine adhabu huanzia hapahapa, nazo ni (1) uzinzi kama huo unaoufanya (2) kumwaga damu isiyo na hatia. havijawahi kumwacha mtu salama, ukiona hadi leo upo safi tu, shukuru Mungu, amekupa opportunity ya kutubu na kubadilika na kugeuka kabla kimbwanga hakijakukuta, aidha magonjwa, laana, mikosi, nuksi n.k. nakushauri kwa moyo wote, ikimbie zinaa kwa nguvu zako zote, mwamini Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, utapona mengi hapa duniani na mbinguni pia.
Unanichamba mimi au unaongea kwa wote nikusupport nimeshaamua mwanaume wamtu nope
 
Mimi kuoa hapana
sio kwamba sipendi kuoa lah shida wa kuoa hapatikani
Nafikia hatua ya kuwaza kuzaa na mwanamke bila ya ndoa
 
Mimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?

Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.

Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.

Good Evening.
Mnasema Wanaume walio oa wana-mvuto ambao hawajaoa hawana mvuto
 
Huoni kwamba wakijirahisisha ndo wanakamilisha nature yenu?
Basi wasilalamike kama mtoa mada hapo juu waache tubalance nature maisha yaendelee, vidume wenyewe tumebaki wakuhesabika tukifanya kila mtu atulie na wake wengine si wataanzisga kilimo cha matango na ndizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom