Ulitaka mwenyewe sasa tulia maji yameshamwagika

Ulitaka mwenyewe sasa tulia maji yameshamwagika

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,840
Reaction score
25,367
Mimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?

Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.

Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.

Good Evening.
 
Mimi nimekuwa namawazo tofauti sana umeoa mke wako .
Ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini??

Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaaa kali wajameni sidhani hii imekaa poa

Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa , kuvunjika kwa ndoa yako , kuharibu malengo ya familia yako .
Hebu kueni kaaeni mlioopachagua basi mueleweke waliosingle ni watu wawatu nyie ndio wafunga njia kabisa

Good Evening .
Wewe unaweza kula wali kila siku bila kubadilisha?
 
Nanyi qmbao hamja olewa acheni tamaa kwahi huwaga mnabakwa??? [emoji849][emoji849]Tena shobo zenu ndio zinawaponza UKIONA mbaba wa watu ana vihela kidogo hata HUJUI kavichuma na nani unaanza kujishobokesha
 
Kuliwa utaliwa na hakuna kitu mnaweza zaid ya kuwapa limbwata watoto wa wanawake wenzenu, ni hivii uyo anaewekwa ndani ni bahati yake
 
Mimi nimekuwa namawazo tofauti sana umeoa mke wako .
Ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini??

Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaaa kali wajameni sidhani hii imekaa poa

Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa , kuvunjika kwa ndoa yako , kuharibu malengo ya familia yako .
Hebu kueni kaaeni mlioopachagua basi mueleweke waliosingle ni watu wawatu nyie ndio wafunga njia kabisa

Good Evening .
kati ya dhambi nyingi tuzifanyazo, zipo zingine ni dhambi, ila madhara hayafanani kwa sasaivi though at the end of the day adhabu ni motoni, ila zingine adhabu huanzia hapahapa, nazo ni (1) uzinzi kama huo unaoufanya (2) kumwaga damu isiyo na hatia. havijawahi kumwacha mtu salama, ukiona hadi leo upo safi tu, shukuru Mungu, amekupa opportunity ya kutubu na kubadilika na kugeuka kabla kimbwanga hakijakukuta, aidha magonjwa, laana, mikosi, nuksi n.k. nakushauri kwa moyo wote, ikimbie zinaa kwa nguvu zako zote, mwamini Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, utapona mengi hapa duniani na mbinguni pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom