Shukrani kwa kunielewa cku hizi waelewa wamebaki wachacheSawa sawa mkuu
Nadhani we mwenyewe hauelewi ulichoandikaMimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?
Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.
Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.
Good Evening.
Mimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?
Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.
Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.
Good Evening.
Huoni kosa lako la kutongoza ila unashangaa kwanini anakubali?Wanawake mngekua mnaweza kusema NO, sisi waume za watu wote tungebaki na wake zetu. Mimi tangu nioe sijawahi tongoza mwanamke akakataa pamoja na kuvaa lipete likubwa la ndoa masaa 24!
Huoni kosa lako la kutongoza ila unashangaa kwanini anakubali?
Mwenye viapo vya uaminifu ni wewe
Dhambi hio ni ya kwako
HapanaSisi wanaume kutongoza hakuepukiki, na kutongoza sio dhambi. Dhambi ni pale wewe unapokubali manake ndio unaruhusu dhambi halisi itendeke!
Kwani nyie kinachowashinda kukataa ni kitu gani..?😁😁Hapana
Unatakiwa kutosheka na mkeo
Usitongoze
Wahi home ukachomeke kwa wife
Wapo wanaokataaKwani nyie kinachowashinda kukataa ni kitu gani..?😁😁
Unataka mkeo nae abadili ale ugali ama?Wewe unaweza kula wali kila siku bila kubadilisha?
Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja, Hii kitu futa kabisa akilini mwakoHeshima ni kitu cha bure mtu apende kujiheshimu kwa maana wewe ni mume wa mtu hadi Mungu anatambua hilo .
Humu hakuna mwenye tabia yako
Hela zake unazitaka na kumuacha pia unataka, [emoji1787] equation imekaa vibayaMimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka mtulete nuksi ya kutoolewa nini?
Maana kila siku mnatuona kama vipoozeo vya chai kali au njaa kali, wajameni sidhani hii imekaa poa. Mmeoa tulieni jamani kuna magonjwa, kuvunjika kwa ndoa yako kuharibu malengo ya familia yako.
Hebu kueni, kaeni mlipopachagua basi mueleweke. Waliosingle ni watu wa watu nyie ndiyo wafunga njia kabisa.
Good Evening.
Wanaona wivu Sana mama mijengo wanavofaidi[emoji4]Nanyi qmbao hamja olewa acheni tamaa kwahi huwaga mnabakwa??? [emoji849][emoji849]Tena shobo zenu ndio zinawaponza UKIONA mbaba wa watu ana vihela kidogo hata HUJUI kavichuma na nani unaanza kujishobokesha
Binafs Siwezi kumuelewa[emoji4]Salama kungwi!naona unawapa vidonge vyao!Ila watajifanya hawakuelewi[emoji16]
😂😂😂😂Hakika kwa wewe itakuwa ngumu Sana kuelewa