Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Mjomba Antonio alinipa ushauri one time. Alisema,ukiona unampenda mwanamke hadi unashindwa kujicontrol yaani anakufanya kuwa mjinga na upo tayari kufanya lolote, usiwe na huyo mwanamke sababu ndie ataekuumiza kuliko wote, tafuta mwanamke ambaye unaweza kumpenda kwa maamuzi yako na unaweza jicontrol katika kumpenda hakuchukui akili yote. Wanawake huwa hapendi kupendwa ili ya too much wanaona kero.
 
Kijana kijana

Usijaribu kuharibu maisha yako hakupendi lakini kawakosa wale alokuwa anao

Karusha kwako maana hawezi kaa mpweke bila mahusiano kbs narudia hakupendi

Mwanamke Kama anakupenda hata Kama atakukataaa lkn hawezi onyesha kwa vitendo narudia hakupendi

Usimpende na kuanzisha mahusiano na mwanamke asiyekupenda hakika utalia

Narudia utalia
We chagu aje piga na mwambie ninaye mwingine tayar kwa kumuoa
 
Vijana wa sikuhiz bwana
Yeye anakuja moto wew nenda naE taratbu mkule kbsa huku unamsomea Gepu
 
Sasa kwann iwezekane sasa kama alikuambia haiwezekani awali... She does not love u buddy kuwa makini nae....
 

Acha ubwege wewe...huyo wacha aje gheto umgegede basi. Usijaribu kabisa kumuoa mzeeya wee ni mwendo wa kugegeda
 
Kaka unaweza kueleza kidogo kwanini ni ngumu kufanya nae maisha ?
Mwanamke ambaye alikukataa mwanzo kwann sasa hivi akurudie, tena ni baada ya kukutana na wewe kwa bahati mbaya?!

Kwahiyo wewe ni mwanaume ambaye umemtokea kimiujiza like.... Woooooouuuw.... Here is my prince charming "

Stupid.......... Huyo anajaribisha bahati kwako, ameshajua kuwa amepoteza alikokwenda kutafuta......

Kama unataka kupiga gemu kufidia alichokunyima fresh tena ukampime ujauzito, ngoma na STD, asijekukuambukiza maradhi.
 
Mkuu nimekusoma vzur sana hata mimi nimetumia hii fomula imenisaidia sana na maisha yanaenda.
 
Wababaifu si ndio nyinyi mnapendwa tangu mkiwa form 5 alafu mnakataa matokeo yake mnakotarajiwa kuwa mtapata mapenzi ya dhati mambo yanabuma kama prisca alivyobuma sasa uyu prisca dawa yake ni kupigwa mashine tu
[emoji38][emoji38] ni kupigwa mashine tu
 
expert advice chukua hii mkuu
 
Wababaifu si ndio nyinyi mnapendwa tangu mkiwa form 5 alafu mnakataa matokeo yake mnakotarajiwa kuwa mtapata mapenzi ya dhati mambo yanabuma kama prisca alivyobuma sasa uyu prisca dawa yake ni kupigwa mashine tu
Natamani niwe na number ya prisca nimtonye😁
 
Natamani niwe na number ya prisca nimtonye[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unataka kumwambia kuwa anaenda kupigwa miti[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…