Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Kwa kweli mmenielimisha pakubwa. Nilikuwa nawaza kumuoa lakini sasa nimepata sababu kwanini ni hatari kuingia nae katika maisha.
Huyo hakupendi mkuu, angekuwa anakupenda angefanya yafuatayo÷

[emoji117]Angesimama bega kwa bega na wewe tangu mwanzo.

[emoji117]Ange kupiga tafu na kukupa moyo pengine hata kukufariji katika mishe mishe zako , kwasababu anajua utakuwa nae katika mausha.

[emoji117]Asinge kuacha kwa staili aliyofanya , kama alikuwa na malengo na wewe, maana mwanamke anae kuheshimu hawezi kufanya aliyofanya huyo.

HUYO AMESHACHEMKA , AMESHATUMIKA SANA MPAKA WAMEMCHOKA , AMEONA WEWE ULIKUWA UNAMPENDA SANA NDIO MAANA ANAKUJA KIJARIBU HAHATI YAKE.

KIFUPI NI GARI BOVU HILO
 
Kwanza kwanini huna mwanamke mpaka leo kwa umri wako?
Nilikuwa nae kaka. Ila tuliachana kwa masuala la usaliti. Ulipata scholarship ya kwenda Australia, akarudi likizo akiwa mjamzito. Sasa hivi sitaki mahusiano ya kiujana ujana nataka kuoa tu.
 
Kula mzigo huo pita ivi nimekutana na izo screnario zote nimezichalaza Miti, then nime mute Siwapi namba zangu official hata kidogo
 
Nimeomba ushauri au nimeomba univunje mbavu ?😂😂😂

Eti "hawaachi mizoga"😂

Kwahiyo kaka naonekana namtetea mwanzo mwisho ?😂
 
Nimeomba ushauri au nimeomba univunje mbavu ?😂😂😂

Eti "hawaachi mizoga"😂

Kwahiyo kaka naonekana namtetea mwanzo mwisho ?😂

I swear mkuu kwa nnavyokufahamu huyu demu humuachi hata kwa dawa! Lazima utamtafuna tu maana unaonekana una ukame sana wewe na hapo ni kama mbuzi kafia kwa muuza supu 🤣🤣🤣🤣 Kwanza usikute umeshamla umekuja hapa na stori ndeefu kupima upepo tu
 
Alikuwa sawa kukataa mkiwa wanafunzi (form six). Bado unamuona mzuri? Unampenda? Kama ndio, jipe muda ufahamu vizuri kwa nini "karudi" kwako (motives). Inaweza kuwa uchumi, revenge (wengine akishaukwaa, anataka kuusambaza!).

Hili mara nyingi halichukui muda. Ila kwa kuanzia, usikubali mtego wa "kumlala" mapema.....itakunyima fursa ya kumfahamu na kufanya maamuzi sahihi.
 
Hivi we ni Sakayo? samahani lakini kama nimekukwaza kukuuliza Mama.
 
Hakika ninakubali. Asante sana
 
ACHANA NAE,
ulimtaka hakukutaka, anakutaka kwa muda anaotak yy wewe unamtaka.
ukikubali aingie katika maisha yako she wins, you lose.
hakuna pride yoyote kulala na women wasiostahili.
dont lose your dignity man, wewe sio rebound samaki wapo wengi baharin
 
Sasa na mimi mbona silagi mzoga😂😂😂.

Kwa kweli kaka nimezingatia ushauri wa watu mbali mbali. Nimeona ni hatari sana kuingia nae katika maisha.
 
Asante ndugu yangu. Kwa kweli ni mapema mno kupeleka mambo fasta fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…