Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Nashkuru sana ndugu yangu kwa kutumia muda wako kunishauri.
 
Type sio hadhi ...unaweza kuwa na hadhi ya juu kuliko mimi na usiwe type yangu
 
Hakika nimeelewa
 
Asante sana ndugu yangu.
 
Nimeona kufua nguo...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona kama Wewe ni domo zege

Mkuu hili wala sio swala la kuuliza. Huyu mleta mada ana viashiria vyote vya udomo zege kama vile:
1. Yuko singo. Mwanaume unaejua kutongoza, una kazi, una hela, una pa kuishi, unaanzia wapi kuwa singo? Yaani wanawake wote waliojaa kila mahali umeshindwa kuwapata? Kweli mpaka unakuja kukutana na mwanamke mlieachana form five halafu ulivyo ukamuambia ukweli kwamba uko singo! Yaani kwanza dem atakua kakushusha thamani sana kujua upo singo.
2. Tabia ya wanaume madomo zege ni kwamba huwa hawaachi mzoga! Yeye kwake kitendo cha mwanamke kumzoea anaona kama ngekewa maana la sivyo hajui atapata wapi mwingine?
3. Mwanamke kakutana nae juzi, lakini angalia kwenye uzi huu tangu mwanzo anamtetea jinsi ambavyo hataki kumuumiza, mara akimuacha atamuelewaje, mara ataonekana mshenzi.. ata hajajua kama mwanamke kweli anamtaka au labda ni ana shida anataka kumkopa tu hela?😂😂
4. Jamaa yuko tayari kumkaribisha dem aliekutana nae juzi nyumbani kwake! We ulisikia wapi? Demu umekutana nae baada ya kupotezana miaka kibao, hujui saiz anafanya mishe gani we unamkaribishaje home? Kama ni jambazi? Au malaya anajiuza?

NB: udomo zege sio tusi, ni hali.
 
Asante sana dada angu. Umenipa picha ya upande wa pili. Umenipa mwanga na hakika nitakwenda kufanya maamuzi nikiwa najua nnayopaswa kujua kutokana na mchango wako na wa wadau wengine.
 
Mkuu...kuwa nae msome mchunguze Kama anasifa zako zakuwa mke then decide.

Hayo Mambo sijui kaliwa Sana sijui Nini..Hizo Ni story TU..wewe kaa nae umsome umjue Tabia Yake.

Kama atakufaa kuwa mke muoe TU shida ikowapi.
 
Kaka, kiasili mwanamke ni kiumbe ambae anapenda kuzaa na kulea. Kuzaa na kulea(narudia). Kama kuna jukumu lingine mwanamke ana-play katika jamii basi ni kwa sababu ya socio structure ya jamii na nafasi aliyopewa. Kumbuka, Afrika tuna maisha yanayo-diverge kidogo from nature ukilinganisha na social set-up ya nchi nyingine zilizoendelea ambazo zimefanikiwa kumuweka mwanamke katika ground sawa na mwanaume. Hivyo ku-diverge sana na natural desire ya mwanamke ya kuzaa na kulea.

Ila kuzaa na kulea ni tamaa ya kiasili ya mwanamke na hiyo ndiyo sababu hapa kwetu dada zetu wanaogopa sana wakiona umri unaenda na hawajapata watoto.
 
Asante kwa somo.....

Na hadhi.?
 
Asante kwa kunishauri dada Lenie
 
Nimeelewa ulichosema kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…