Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Haya yote ni masuala ya utamaduni wa kijinga wa hizi nchi masikini za kiafrika.Nchi zilizoendelea kama sweeden,Norway,e.t.c mwanamke huwa anaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya kumpenda mtu,kwa sababu atakosa furahaa kama ataishi bila ya huyo mtu.Kwenye nchi hizo mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano akiwa na miaka hata 80 kwa sababu ndiyo muda/umri ambao maybe amepata mtu anaempenda.

Kwenye nchi zilizoendelea mtu haiingii kwenye mahusiano kwa sababu ya umri kwenda au kwa sababu ya kupata mtoto.Kuingia kwenye mahusiano kwa sababu umri umeenda au kwa sababu ya kuzaa huo ni ufala na umasikini wa akili.Maisha ni mafupi sana,kuna umuhimu wa kutanguliza furaha mbele kuliko chochote kile.
 
Mkuu endelea kumdanganya jamaa akamle then akute binti ni mtamu kunoga! Hakika komamanga la watu litanasa na likinasa likashindwa kutokana lawama zitaletwa humuhumu..😂
Asante kwa ushauri japo umeniita komamanga😂
 
Ushauri mzuri sana huu....

Kama bado unampenda we jmos ukipata nafasi mkaribishe msikilize you never know na haya maisha hayanaga formula so usiumize akili sana kwa jambo la kawaida kama hili.

Muhimu mpime afya maana hujui mtu kapitia wapi miaka yote hiyo.
 
Samahani mkuu naomba uwe salimie huko Norway na sweden..

Mimi nipo Tanzania
Na huo mfano wako ulenge sehemu husika.
Nchi yangu (nyumbani kwangu)pakiendelea inatosha kabisa..

Hizo habari za nchi gani kuendelea waachie wenye nchi zao.

Nilitegemea umwambie mwenye uzi kama bado anampenda prisca wafanye maisha...kumbe unaniletea malinganisho ya bara na bara😅😅🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Mimi siwezi kukosa furahaa kwa sababu ya tamaduni za kipuuzi.Ndugu zangu walinilazimisha nioe eti kisa nazeeka,nikawaambia ninyi ndiyo mnakuja kuishi na huyo mwanamke au ni mimi?Sasa hivi wamenitenga eti kisa sitaki kuoa,yaani maisha yangu binafsi yanaingiliwa na watu kisa ni tamaduni!
 
Mkuu endelea kumdanganya jamaa akamle then akute binti ni mtamu kunoga! Hakika komamanga la watu litanasa na likinasa likashindwa kutokana lawama zitaletwa humuhumu..😂
Komamanga😂😂😂 we fall Sana🤣🤣🤣
 
Mwanamke wa hivi hapendi....anatafuta kula yake tu...

Na akishashiba atakubadilikia hutaamini.
Ulichosema kinafikirisha sana. Kina ukweli kwa kiasi kikubwa. Labda ataweza nigeuka mbele ya safari.
 
Asante sana. Nitazingatia ushauri wako.
 
Lipia tangazo mkuu kumbe bado hujaoa 😅😅mimi pia bado sijaolewa na umri umekata kichizi😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Yale yale kijana mbichi anataka kuowa malaya!

"Hakupendi huyo, ila tu anakuja kwako kupooza machungu kwa sababu aliowataka yawezekana kagombana nao. Sasa we jiangalie wewe unampenda ama humpendi?".

Siyo maneno yangu ni maneno ya rafiki yako Kishore,hivi kwani wewe mgeni humu?huwa hukutani na mada zinazohusiana na kusisitiza sana kuowa mwanamke bikra?na huyo anayejitongozesha kwako kiasi hiko umri umeshamtupa na huko alikotoka hakuna hata aliyemwambia kwa utani nakuowa ameona bora ajiegeshe kwako na wewe unaweweseka kabisa “nataka kuowa sitaki kuchezea” umejipa muda kujiuliza wangapi wamemchezea hadi uje wewe kukokotana naye akimiliki kopo la choo cha stand katikati ya mapaja yake?

Acha undezi.....nakwambia tena acha UNDEZI!!!
 
Mimi wakati mwingine nahisi nimwambie ukweli kuwa 'simhitaji' lakini sasa nahisi atajiskia vibaya sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu natumaini ushauri wako atauzingatia over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…