Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Mimi wakati mwingine nahisi nimwambie ukweli kuwa 'simhitaji' lakini sasa nahisi atajiskia vibaya sana.
Mwanangu! Acha uboya!

Mimi nina experience na issue kama yako!

Nilimwambia kiustaarabu hakunielewa! Matokeo yake bado akaendelea kuniganda vibaya sana. Tena nikamwambia ukaribu uliyobaki baina yangu na yako ni urafiki tu! Nikawa kama nimemwagia moto petrol.

Nikambadilikia nikavaa uhusika wa kitaa! Mambo yakawa yameisha kiulaini tu.
 
Oya mwanangu, form 5 kabisa? Mbona mlikua watoto. Akili za form5 ufananishe na saiv? Ebu kaa nae kwanza umchambue vzr, akili imekomaa.
 
Nakubaliana na hii hoja
 
Umewaza kama nlivyoo waza mm, kuwa pia mpe mda kama haelekei suitamtema tuu
 
Kimbia na usitazame nyuma. Wanawake huanza kutafuta nafasi kwa watu ambao (wao wanawake) waliwaringia kabla pindi wanapopoteza mvuto. Haiwezekani mtu akukatae wakati ukiwa unaonesha nia ya dhati kuwa naye akimbilie kwa mwingine, halafu ikifika alasiri (muda kati ya mchana na jioni) ndio akukumbuke, huo sio upendo bali anataka kupata sifa ya ndoa au ameachwa sana hivo hana option.
 
Wewe kula upooze machunguu...!! Imeishaaa hiyooo
 
umenena ukweli, mi kuna mtu ananilaumu kwa kumkataa tukiwa kidato cha pili jaman miaka ya 2000
 
Pata mda zungumza naye jua kwann mwanzo alikukataa kwann na sasa kafata nini kwako otherwise piga hiyo pilisika tembea mbele
 
Kama unampenda utamjali,,kashagundua alibugi kukupiga dana dana,mkubalie tu,akizengua si unampa talaka tu,sikuhizi karatasi za full scap zimeshuka bei sana,awamu ya sita waliifufua kiwanda cha karatasi mgololo
 
Naungana Na kishoro
 
Brother mkumbuke mungu katika ujana wako ,,mtafte mungu na hayo yote utazidishiwa na mke bora anatoka kwa bwana cha kufanya omba sana sali sana bwana atakupa hitaji la moyo wako achana na prisca tena mwambie sio aina ya mwanamke unaetaka kuoa usijaribu kabisa kuzini nae mungu hapendi uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…