Yote ayoo ya nini jamani ndio mana nikasema uyu demu apelekwe gesti tu ndio anastaili na huku mchizi akiendelea kumchunguza taratibuInahitaji uwe kauzu sana kumfukuza demu mkuu.
Hasa demu ambaye maumbile yake umeyaona na kuyagegeda.
Utakuwa ukitoka kazini na kurud nyumbani ukifungua tu mlango unamkuta juu ya kitanda ametanua mapaja bila kifunika uchi.
Asikwambie mtu mkuu sio kazi ya kitoto
Yote ayoo ya nini jamani ndio mana nikasema uyu demu apelekwe gesti tu ndio anastaili na huku mchizi akiendelea kumchunguza taratibu
Aswaaa kwa iyo jamaa awe makini sana kwanza mambo ya kupeleka peleka mademu geto sio powa sema mabaaria wanafosi tu amna namna sema kuna siku kinakuja kunuka lazima geto utaliona chunguMademu wa aina hii ukimpeleka geto siku ya kwanza tu anajichoresha kwa majirani wote wamuone ili kuandaa ushahidi ukishakaa naye na ukataka kumfukuza majirani wanajitokeza kumtetea
Aswaaa kwa iyo jamaa awe makini sana kwanza mambo ya kupeleka peleka mademu geto sio powa sema mabaaria wanafosi tu amna namna sema kuna siku kinakuja kunuka lazima geto utaliona chungu
Kabisa mkuu, sema kuna mademu wa kupeleka geto ila uyu prisca anastaili adhabu kwanza apelekwe gesti akachezee mjegeje alafu atizamwe kwanza aone anafaa au lahUtatamani uhamishe geto ghafla
yap akimuacha atamdharauKabisa mkuu, sema kuna mademu wa kupeleka geto ila uyu prisca anastaili adhabu kwanza apelekwe gesti akachezee mjegeje alafu atizamwe kwanza aone anafaa au lah
umeniacha hapokwenye kishoroAnatumia akili za kishoro [emoji38]
Ukisoma uzi wake anadai ana rafiki anaitwa kishoro sasa hua anamuomba ushauri toka wapo A-level kuhusu huyo manziumeniacha hapokwenye kishoro
mweh nilishasahau story yenyeweUkisoma uzi wake anadai ana rafiki anaitwa kishoro sasa hua anamuomba ushauri toka wapo A-level kuhusu huyo manzi
[emoji38]lazima uisahau maana jamaa hajui anachotakamweh nilishasahau story yenyewe
Wa hivo wapo Sana tu gragh imeshuka, kamua kibaharia kumbuka kwa mwampalange usikose. Usikose mundendeKaka apo 100% ni Jumba Bovu sikushauri kuwa nae...Apo karuka ruka wee kaona mambo sio mambo anae mtaka hamtaki sasa anatafuta atakae mtaka...cha kufia nini si alijitia jeuri funika kombe nasema funika. Nakushauri ivi kwasababu lolote litakalo kuja kutokea uko mbeleni tofauti na matarajio yako ndugu yangu utakuja kulalamika sana na utapata stress mbaya haijawai tokea.
Good thing ni kwamba alisha kutoka japo sio mazina as you said ila fanya mishe zingine mpotezee atakutoka kabisa. Wanawake wapo wengi Kaka songa mbele kama ambulance uku unalia. ukifika utanyamaza[emoji23]
😂😂😂😂😂[emoji38]lazima uisahau maana jamaa hajui anachotaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo umri wa kuolewa umeshafika na mbele anaona giza [emoji2957][emoji2957]
Yaani mtu hujakaa nae hata wiki kwenye uhusiano, tena mtu ambae alikuwa aankuona kam nyanya mbovu ndio unataka kumuoa? Uko desperate kiasi hicho au ndio wadau kusema wewe domo zege?Kwa kweli mmenielimisha pakubwa. Nilikuwa nawaza kumuoa lakini sasa nimepata sababu kwanini ni hatari kuingia nae katika maisha.
Haina shida maana hiyo sio nyumba ya jamaa, ni ya kupanga. Akiona demu analeta za kuleta anahamia kwingineKabisa yani mimi tageti yangu kuwa demu hata kama anakaa kwao kupajua kwa jamaa naona kunaweza kukaleta usumbufu maana uwezi jua demu anaweza akapigwa mkojo akadata mwisho wa siku ikamletea shida jamaa
Umesema kweli, ni jukumu lakr kunyoa au kusuka. Ila namuona namna atakavyoteseka ndoaniHuwa tunakuwa tuna watu tunaowapenda na matarajio nao kumbe ni mabazazi...matokeo tukishatendwa tunaanza kuangalia angali option B[emoji16][emoji16]
Asipokuelewa hapa hataelewa kwingineKaka nakupa experience ya kike,HAKUPENDI....Kuna wakati huwa Mambo ya mahusiano yanaenda mrama mpaka unamkumbuka aliyekuwa anakupenda lakini ukianza mahusiano Wala hayanogi,ukiona hata call yake unajionea kero unless uwe na mkwanja mrefu.
Mleta mada ndio mtu wa kwanza kumtongoza anavyosema yeye, lakini akaja kumkubakia monitor baadae. Again kwanini hakumtafuta mpaka walipokutana kwa bahati mbaya?Kamati ya roho mbaya[emoji3]
Nashindwa kuelewa kosa la Prisca ni nini? Kwa kipindi kile alikua na mtu, mlitaka akubali mwanaume mwingine wakati tayari ana mtu? Angeitwa majina mabaya yote.
Kwa sasa yupo Single kaona ni wakati wa kuwa na huyu, kosa lake ni nini?