Ulisherehekeaje pasaka yako jana?

Ulisherehekeaje pasaka yako jana?

Hapa ni karakana kikishindikana kukatwa kinayeyushwa

Mh!! ngoja nimsubiri Mwali atasema juu ya hilo, na vipi kama ikiwa ni sawa na kumtafuta sato kwenye maji chumvi?
 
Kuna nusu kuku hapa nilidhan jana hawakunifungia kumbe nilirudi naye ngoja nimtafune kwanza i will be back hope mpaka hapo unapata picha pasaka yangu ilikuaje!

Kwa style hiyo! Yakupasa upunguze Keloro (kinywaji) kuna siku utasahau hom!
 
Back
Top Bottom