Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,762
- 4,978
Mimi ninavutiwa sana na maisha ya kuwa karibu kabisa na asili" kijani"natamani ninapoishi kila mahali pawe na alama ya kijani.
Na ndiko anakoelekea.hamia lumumba, kijani imejaaaaa.
wapi imezungumziwa siasa? toa ushahidi.Siyo kila kitu ni siasa jamaa zangu...nazungumzia Kilimo hapa
Rejea " lumumba kijani imejaa"...wapi imezungumziwa siasa? toa ushahidi.
ushahidi wako haujitoshelezi.Rejea " lumumba kijani imejaa"...
Embu utosheleze weweushahidi wako haujitoshelezi.
Kwenye bandiko lako wapi umezungumzia kilimo ..Siyo kila kitu ni siasa jamaa zangu...nazungumzia Kilimo hapa
Hebu weka Jani la isalewapi imezungumziwa siasa? toa ushahidi.
Jani la isale ndio kitu gani?Hebu weka Jani la isale
Wewe jamaaHebu weka Jani la isale