Ulishawahi kuumizwa na mapenzi?

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,953
6,858
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tatu sasa nipo hovyo kabisa baada ya kugundua mwenzangu alinicheat, Japo msamaha nilishautoa baada ya yeye kukiri na kuahidi kuachana na alichokuwa anakifanya, Lakini sijui kwanini kidonda kinachelewa kupona

Post yangu ya last ilieleza mwanzo mwisho mkasa mzima, Na wengi walishauri niachane nae lakini mwisho nilijikuta namsamehe maana Ukizingatia ni mtu tumeishi wote 3 yrs (Wazazi wake wana taarifa zangu na wangu pia wanamfahamu tayari) tumeishi Pika Pakua muda mrefu, kitanda kimoja hivyo isingekuwa rahisi

Nafahamu Kuwa hata kama ningemove on ila kwa stress nilizokuwa nazo pengine ningependa kufia mbele ila baada ya yeye kukiri kosa na kuomba msamaha kwa kilio na machozi mengi siku ya juzi Hali yangu kidogo ilikaa sawa, jana niliutoa msamaha wangu baada ya kukaa nae chini kwa mara ya pili, Ila Hadi muda huu naona bado hii kitu inanisumbua nikikumbuka all the situation na pia maswali ninayojiuliza Je, ni kweli ataachana na mchepuko?

Msamaha wangu kwake nimeutoa kwa Onyo kubwa sana kwake, kwamba bora aniambie ukweli kwa Sasa kama hawezi kuachana na huyo mchepuko, Aniambie mapema ili nijue moja yeye akanithibitishia kuachana na huyo jamaa kabisa

Bado nikaendelea kumuonya Kuwa ikiwa nitagundua tena ananicheat basi Atafanya nionekane mbaya katika jamii basi Mimi na yeye tukakubaliana hivyo, Sasa Leo kaelekea kazini kwake me nipo nyumbani tu nimekaa akili na mwili vyote havitaki kunipa uhuru, najisikia uchungu Kila nikitafakari tukio Zima kwani ni mwanamke niliemuamini sana.

Sasa tatizo lipo hapa mwanamke kashakiri na kaomba msamaha nimeshamsamehe je, ni jinsi gani nitarecover? Moyo wangu una jeraha nataka nipone na niendelee na movements zangu, Kama ulishawahi kupitia situation kama hii Nishauri nifanye nini maana nahisi kufa mapema, Ningemuacha bila kusikia msamaha wake basi nahisi ningependa kufia mbele ni kwamba kuniomba msamaha kwake kumepunguza maumivu, Hajawahi kuniomba msamaha kwa uchungu kama nilivyomfuma majuzi.

Nishauri
 
Hapo hujaoa tu.. Wala hujaanza kuonyesha madhaif y nguvu z kiume na ukosef w fed ha pengine na kashaanza kukupigia penati
Songa mbele utamsahau tu n maisha mengine yataendlea
Kwahio sipo sahihi kumsamehe?
 
Msamehe tu Ila tafuta namna ya kurekava kam kumuacha au punguza mapenz ya kweli isije kujirudia ukajinyonga. Mtaftie hata vitoto vya chuo hapa udsm mkuu
 
watu hawashei maumivu ndugu maana kila mtu anakiwango chake binafsi cha ustahilifu kulingana na tatzo kuna mwingine anabaini mke wake anakunyuliwa na bado anakuwa mvumilivu
 
Kwahio sipo sahihi kumsamehe?
Kumsamehe umemsamehe upo sawa, ila kuishi kama mke na mume haifai, dini ya kikristo haifundishi wanandoa kuachana ila ikitokea mmoja akatoka nje ya ndoa basi mchepukaji anakuwa keshajipa talaka mwenyewe hivyo yule asiyechepuka anaruhusiwa kuao ama kuolewa na mwingine.

Ushauri :
Acha na huyo mzinzi utapona
 
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tatu sasa nipo hovyo kabisa baada ya kugundua mwenzangu alinicheat, Japo msamaha nilishautoa baada ya yeye kukiri na kuahidi kuachana na
Umia Tena, na Tena ,.na utafute mwingine Tena wa kukumiza Tena, Hadi akili ikukae sawa kuwa mpenzi wako wa kweli ni mama yako tu na babayo
 
Acha kuwa dhaifu,Huyo sio mke ni mchumba.Kama ameweza kusaliti kipindi hiki jaribu kufikiri ndani ya ndoa itakuwaje? Kweli inauma ila shukuru Mungu amekuonyesha mapema.Piga chini, Move on.
 
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tatu sasa nipo hovyo kabisa baada ya kugundua mwenzangu alinicheat, Japo msamaha nilishautoa baada ya yeye kukiri na kuahidi kuachana na
Zingatia afya yako. Huna sababu ya kuumia mara mbili, yaani mara ya kwanza kugundua mwenzako anachepuka na ya pili ni huo msogo wa mawazo. Hayo machozi mwenzako anakufanyia maigizo. Nakushauri chukua somo kutokana na hilo tukio kisha songa mbele na maisha, huyo mwenzako muache aendelee na mchepuko wake.
 
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tatu sasa nipo hovyo kabisa baada ya kugundua mwenzangu alinicheat, Japo msamaha nilishautoa baada ya yeye kukiri na kuahidi kuachana na alichokuwa anakifanya, Lakini sijui kwanini kidonda kinachelewa kupona

Nishauri
Mimi pesa tu ndio inachanganya
 
Kidonda Cha kusalitiwa huwa kinapona ijapokuwa huchukua muda mrefu.Kovu la usaliti ndo huwa halifutiki kabisa.Time is a good healer.
 
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tat
Wewe utatombewa mpka siku uwe na akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom