Ulishawahi kuumizwa na mapenzi?

Ulishawahi kuumizwa na mapenzi?

Shida ya hayo yote ni kuwa na mwanamke mmoja. Hapo lazima mwanamke akuone boya
Una moyo sana. Ningekuwa mm kwa maumivu hayo, lazima nipite na mwanamke mwingine na hiyo lazm ajue.
Kwahio sipo sahihi kumsamehe?
 
Habari Wana JF,

Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri.

Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to handle maumivu na stress za mapenzi pindi yanapokukuta, Hapa niandikapo Uzi huu ni siku ya tatu sasa nipo hovyo kabisa baada ya kugundua mwenzangu alinicheat, Japo msamaha nilishautoa baada ya yeye kukiri na kuahidi kuachana na alichokuwa anakifanya, Lakini sijui kwanini kidonda kinachelewa kupona

Post yangu ya last ilieleza mwanzo mwisho mkasa mzima, Na wengi walishauri niachane nae lakini mwisho nilijikuta namsamehe maana Ukizingatia ni mtu tumeishi wote 3 yrs (Wazazi wake wana taarifa zangu na wangu pia wanamfahamu tayari) tumeishi Pika Pakua muda mrefu, kitanda kimoja hivyo isingekuwa rahisi

Nafahamu Kuwa hata kama ningemove on ila kwa stress nilizokuwa nazo pengine ningependa kufia mbele ila baada ya yeye kukiri kosa na kuomba msamaha kwa kilio na machozi mengi siku ya juzi Hali yangu kidogo ilikaa sawa, jana niliutoa msamaha wangu baada ya kukaa nae chini kwa mara ya pili, Ila Hadi muda huu naona bado hii kitu inanisumbua nikikumbuka all the situation na pia maswali ninayojiuliza Je, ni kweli ataachana na mchepuko?

Msamaha wangu kwake nimeutoa kwa Onyo kubwa sana kwake, kwamba bora aniambie ukweli kwa Sasa kama hawezi kuachana na huyo mchepuko, Aniambie mapema ili nijue moja yeye akanithibitishia kuachana na huyo jamaa kabisa

Bado nikaendelea kumuonya Kuwa ikiwa nitagundua tena ananicheat basi Atafanya nionekane mbaya katika jamii basi Mimi na yeye tukakubaliana hivyo, Sasa Leo kaelekea kazini kwake me nipo nyumbani tu nimekaa akili na mwili vyote havitaki kunipa uhuru, najisikia uchungu Kila nikitafakari tukio Zima kwani ni mwanamke niliemuamini sana.

Sasa tatizo lipo hapa mwanamke kashakiri na kaomba msamaha nimeshamsamehe je, ni jinsi gani nitarecover? Moyo wangu una jeraha nataka nipone na niendelee na movements zangu, Kama ulishawahi kupitia situation kama hii Nishauri nifanye nini maana nahisi kufa mapema, Ningemuacha bila kusikia msamaha wake basi nahisi ningependa kufia mbele ni kwamba kuniomba msamaha kwake kumepunguza maumivu, Hajawahi kuniomba msamaha kwa uchungu kama nilivyomfuma majuzi.

Nishauri
We jifanye kumuonea huruma na kumpenda upendo wa agape, ipo siku utakuja na Uzi tena unaomba mbinu za kumwacha aliekusaliti baada ya kumsamehe kwa usaliti wa kwanza.
 
pole sana, lakini kumbuka msamaha uliotoa kama uliamua kusamehe kwa dhati, endelea kuvumilia. maake maumivu yanakuja kwa vile uliona, lakini kumbuka matendo kama hayo yanafanyika sana tu kwa kila mtu, ila huwezi kushuhudia. lakini pia hakuna wa peke yako duniani.
 
Asilimia kubwa ya vijana wa kiume siku hizi wanapoteza muelekeo na focus za maisha sababu ya wanawake hasa hasa hivi videmu vipumbavu
 
Istoshe unaoneka ww ni baba wa nyumbani aka kula kulala na dem ndo mwenye kutafuta,haya bana
 
Yaani Mimi nikigundua tu demu kanicheat,huwa sinaga kuremba.....nikupiga engine chini chap Kwa haraka....demu mpaka anakucheat maana yake ameshakutoa akili mwake so jiongeze bob,piga chini hiyo kitu anza maisha mapya....mbona wako wengi tu hawa viumbe😁😁😁
 
Back
Top Bottom