Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,366
- 4,554
Je baadaye ilijulikana uongo?Mchumba wa Rafiki yangu alikuwa ananitaka Kimapenzi nilimkatalia na ''kumtolea macho'' kwa hasira........ akaniomba yaishe na nisimueleze yeyote hatarudia tena............Ikafika wakati wanafanya Sendoff yake wakati tunatoa zawadi kwa bibi Harusi Mtarajiwa.......Nilipompa Mkono wa kumpongeza....................Eeeeeeeeeeeebwanaeeeeeeeee aliangua Kilio huku akisema Nimemfinya.........Nilitolewa Nje Mzobemzobe nilivunjiwa heshima siku ileeee sitasahau maishani.............................!!!!!!
Mchumba wa Rafiki yangu alikuwa ananitaka Kimapenzi nilimkatalia na ''kumtolea macho'' kwa hasira........ akaniomba yaishe na nisimueleze yeyote hatarudia tena............Ikafika wakati wanafanya Sendoff yake wakati tunatoa zawadi kwa bibi Harusi Mtarajiwa.......Nilipompa Mkono wa kumpongeza....................Eeeeeeeeeeeebwanaeeeeeeeee aliangua Kilio huku akisema Nimemfinya.........Nilitolewa Nje Mzobemzobe nilivunjiwa heshima siku ileeee sitasahau maishani.............................!!!!!!
Watu waligawanyika katika makundi ya Fikra......Kuna walosema nimefanya kweli......wengine wakasema nimesingiziwa tu.....wengine eti nimetunia nguvu kushikana mikono.........wengine Bi'Harusi anadekaaa...................Lakini ukweli ninao mimi na yeye.............!!!!!Je baadaye ilijulikana uongo?
[h=1]A clear rejection is always better than a fake promise.[/h] Nimeipenda hii, pamoja ya kuwa Unanicheka............Nilihuzunika sana Mkuu siku ile ilinichukua Karibu Mwaka Mzima kulipotezea Tukio hile..................Pale Mtaani nilihama...............!!! ilinigharimu sanaaaa....!!!!!
Haha pole sana mkuu binadamu sio watu wazuri[h=1]A clear rejection is always better than a fake promise.[/h] Nimeipenda hii, pamoja ya kuwa Unanicheka............Nilihuzunika sana Mkuu siku ile ilinichukua Karibu Mwaka Mzima kulipotezea Tukio hile..................Pale Mtaani nilihama...............!!! ilinigharimu sanaaaa....!!!!!
Mkuu umewahi kukutana nae au kuwa na mazunguzo nae baada ya siku hiyo?Watu waligawanyika katika makundi ya Fikra......Kuna walosema nimefanya kweli......wengine wakasema nimesingiziwa tu.....wengine eti nimetunia nguvu kushikana mikono.........wengine Bi'Harusi anadekaaa...................Lakini ukweli ninao mimi na yeye.............!!!!!
Mmh... 22 tayari upo ofisini?Nikiwa mdg mdg sana km 22 hivi nilisingiziwa nakula mke wa boss wangu kazini halafu wote tupo ofisi moja...kiukweli alikuw ananikubali ila mi nilikuwa namuona mzee tu 22 kwa 32 wap na wap!bado kdg nilogwe mie nashukuru alijua ni uzushi
Daah pole sana aisee...!! Inaumiza sanaa kuumiza kwa jambo lisilokuhusuNakumbuka kipindi nasoma sekondari shule moja inaitwa mbweni iliyopo dar, shule hii iko kilometa4 kutoka barabara kuu hivyo ilibidi kutembea au kulipa 400 kutoka tegeta hadi shule, kutokana na hali duni ya kimaisha ilinibidi kutembea kilometa 8 kila siku.
Kwa wenyeji wa bunju wanajua kuna shule zaidi kama mbili zilizo karibu na barabara hivyo wanafunzi wa shule hizo walikua wanawahi kupata usafiri kuliko sisi ambao tulikua tunatembea kilometa 4, hali iliyokua inatufanya tuondoke kituoni baadhi ya siku saa 12 jioni.
Ilibidi tubuni njia ya mkato ili tutokee stendi ya bunju"B" ambako wanafunzi hawakua wengi.
Mkasa unaanza nakumbuka ilikua tunajiandaa kufanya mtihani wa taifa, siku ambayo nakumbuka niliondoka nyumbani mama akiwa anaumwa huku nikipewa 400 tu ya nauli bila hela ya ziada, kama kawaida nilienda shule kipindi cha mapumziko tukagombania uji na kuomba marafiki japo andazi siku iishe.
Ikafika muda wa kurudi nyumbani kama kawaida huku nikiwa na marafiki zangu lkn nilikua nawahi nyumbani maana nilikua sina raha nikiwaza hali ya mama, nilifika kituoni nikagombea usafiri nikafika nyumbani nikakuta mama kasharudi Hospital hali yake kidogo afadhali.
Siku ya pili masomo yaliendelea vizuri hadi mapumziko lkn hafla tukasikia kengele ya dharura tukakusanyika mstarini tukijiuliza kuna nini kimetokea?!
Mwl. Mkuu akatangaza watu wanaopita njia ile ya mkato ile ya bunju"B" wamefanya uhalifu mkubwa wameiba mahindi na kumpiga mlinzi wa shamba hilo hivyo amekuja kushtaki na kuwakamata wote waliohusika kwani anawajua,
Mwl. Mkuu akamwambia apite kila mstari awatoe wote anaowakumbuka walikuwepo kwenye tukio hilo, yule jamaa akaanza mstari mmoja mmoja kuanzia form1 hadi form4 huku akiwachomoa anaohisi walikuwepo au walihusika lkn hafla wakati anapita kwenye mstari wetu nikashangaa amenishika mkono nikataka kugoma lkn hafla nikashangaa bakira zinanimiminikia ikabidi nikubali tu.
Wote tukasimama mbele ya wanafunzi tukituhumiwa kuharibu na kuiba mahindi kwa kweli nilishangaa sana na hata wanafunzi wenzangu niliofuatana nao na hata wanaonijua walishangaa kwasababu sikua na tabia mbaya shuleni wala sikua mkorofi!
Tulisemwa sana na Mwal. Mkuu na walimu wengine huku tukipokea fimbo zisizo na idadi huku wanafunzi wakituzomea.
Baadae tukaambiwa tuandike barua kujieleza kwanini tusifukuzwe shule kwa kweli niliumia sana nikawa nalia huku nikijiuliza imekuaje nimemkosea nini Mungu, kwann wanafunzi wenzangu tuliofuatana nao hawakuja kunitetea wakati wanaujua ukweli kua nimesingiziwa?
Nilijiuliza maswali mengi sana itakuaje maisha yangu shuleni na darasani huku mtihani wa taifa ukikaribia?!
Mwalim mkuu alikataza kupita njia hiyo lkn nikasema moyoni sikubali lazma nipite nikaonane na yule jamaa huenda alipitiwa kunitaja mimi lkn ajabu nilivomuona nikamuuliza imekuaje kunitaja mimi wakati sikuwepo kwenye tukio na kama ningehusika basi nisingekuja shule,
Ajabu ya Musa na Firauni yule jamaa akanambia wengine anaweza kuwa na wasiwasi nao lakini sio mimi, aliniona na anauhakika kua nimehusika na akaishia kunitukana na kunifukuza.
Nilikosa amani lkn sikuwasimulia wazazi lilibaki moyoni mwangu hadi leo, nikikumbuka kesi hii machozi yananitoka!
SITASAHAU!
Asante imebaki historia tukikumbushana na marafiki kwa utani wengine hadi leo nilosoma nao wa madarasa ya chini waliokua hawanifahamu vizuri wananiona mwizi tu!Daah pole sana aisee...!! Inaumiza sanaa kuumiza kwa jambo lisilokuhusu
Pole sana mkuuNakumbuka kipindi nasoma sekondari shule moja inaitwa mbweni iliyopo dar, shule hii iko kilometa4 kutoka barabara kuu hivyo ilibidi kutembea au kulipa 400 kutoka tegeta hadi shule, kutokana na hali duni ya kimaisha ilinibidi kutembea kilometa 8 kila siku.
Kwa wenyeji wa bunju wanajua kuna shule zaidi kama mbili zilizo karibu na barabara hivyo wanafunzi wa shule hizo walikua wanawahi kupata usafiri kuliko sisi ambao tulikua tunatembea kilometa 4, hali iliyokua inatufanya tuondoke kituoni baadhi ya siku saa 12 jioni.
Ilibidi tubuni njia ya mkato ili tutokee stendi ya bunju"B" ambako wanafunzi hawakua wengi.
Mkasa unaanza nakumbuka ilikua tunajiandaa kufanya mtihani wa taifa, siku ambayo nakumbuka niliondoka nyumbani mama akiwa anaumwa huku nikipewa 400 tu ya nauli bila hela ya ziada, kama kawaida nilienda shule kipindi cha mapumziko tukagombania uji na kuomba marafiki japo andazi siku iishe.
Ikafika muda wa kurudi nyumbani kama kawaida huku nikiwa na marafiki zangu lkn nilikua nawahi nyumbani maana nilikua sina raha nikiwaza hali ya mama, nilifika kituoni nikagombea usafiri nikafika nyumbani nikakuta mama kasharudi Hospital hali yake kidogo afadhali.
Siku ya pili masomo yaliendelea vizuri hadi mapumziko lkn hafla tukasikia kengele ya dharura tukakusanyika mstarini tukijiuliza kuna nini kimetokea?!
Mwl. Mkuu akatangaza watu wanaopita njia ile ya mkato ile ya bunju"B" wamefanya uhalifu mkubwa wameiba mahindi na kumpiga mlinzi wa shamba hilo hivyo amekuja kushtaki na kuwakamata wote waliohusika kwani anawajua,
Mwl. Mkuu akamwambia apite kila mstari awatoe wote anaowakumbuka walikuwepo kwenye tukio hilo, yule jamaa akaanza mstari mmoja mmoja kuanzia form1 hadi form4 huku akiwachomoa anaohisi walikuwepo au walihusika lkn hafla wakati anapita kwenye mstari wetu nikashangaa amenishika mkono nikataka kugoma lkn hafla nikashangaa bakira zinanimiminikia ikabidi nikubali tu.
Wote tukasimama mbele ya wanafunzi tukituhumiwa kuharibu na kuiba mahindi kwa kweli nilishangaa sana na hata wanafunzi wenzangu niliofuatana nao na hata wanaonijua walishangaa kwasababu sikua na tabia mbaya shuleni wala sikua mkorofi!
Tulisemwa sana na Mwal. Mkuu na walimu wengine huku tukipokea fimbo zisizo na idadi huku wanafunzi wakituzomea.
Baadae tukaambiwa tuandike barua kujieleza kwanini tusifukuzwe shule kwa kweli niliumia sana nikawa nalia huku nikijiuliza imekuaje nimemkosea nini Mungu, kwann wanafunzi wenzangu tuliofuatana nao hawakuja kunitetea wakati wanaujua ukweli kua nimesingiziwa?
Nilijiuliza maswali mengi sana itakuaje maisha yangu shuleni na darasani huku mtihani wa taifa ukikaribia?!
Mwalim mkuu alikataza kupita njia hiyo lkn nikasema moyoni sikubali lazma nipite nikaonane na yule jamaa huenda alipitiwa kunitaja mimi lkn ajabu nilivomuona nikamuuliza imekuaje kunitaja mimi wakati sikuwepo kwenye tukio na kama ningehusika basi nisingekuja shule,
Ajabu ya Musa na Firauni yule jamaa akanambia wengine anaweza kuwa na wasiwasi nao lakini sio mimi, aliniona na anauhakika kua nimehusika na akaishia kunitukana na kunifukuza.
Nilikosa amani lkn sikuwasimulia wazazi lilibaki moyoni mwangu hadi leo, nikikumbuka kesi hii machozi yananitoka!
SITASAHAU!
Asante ndio maishaPole sana mkuu
Nilijiepusha kuwa karibu nae hata kupashana habari ilikuwa shida.......Urafiki wa mimi na Jamaa yake ulikwisha kwa tukio lile............baada ya kuhama Mtaa ule nasikia Ndoa haikudumu walitengana na sijui wapo wapi...........sitaki hata kujua habari zao niliwaona ni Hatari kwangu.............Mkuu umewahi kukutana nae au kuwa na mazunguzo nae baada ya siku hiyo?
Poa mamalai, sio kesiHujioni kama unatoka nje ya mada?