Ulishawahi kushuhudia au kukutokea?

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Binafsi sijawahi kukunjana na polic Ila nimeshawahi kushuhudia jamaa mmoja hivi mbavu kidogo akikunjana na polic Ila kwa bahati mbaya sikujua kisa na mwisho wa siku huyo polic alijitetea kwa kutumia miguu yake


Je ilishawahi kukutokea au ulishawahi kushuhudia raia na polic wakikunjana?

Mods tafadhali zingatieni neno where we dare to talk openly
 
Hao police ni wale wa India vimbaumbau kiasi akikohoa suruali inadondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…