Ulishawahi kupekua au kuchunguza simu ya mpenzi wako au mkeo?

hata ikiita akiwa hayuko karibu, akija na kuniuliza simu yambu iliita...huwa namwambia "SIKUSOMEA",,,, sitaki na sidhubutu.......yangu najua anaiperuzi sanaaaa.....
 
Sijawah kujaribu ila baadh yao wanahiyo tabia japo nlishawaambia... do the test only if u can handle whatever result will get... na kama huna mpango wa kumuacha mtu unamchunguza ili upate nn..?
Kuna mmoja baada tu ya kumwambia hvyo ndio kama nmemtuma, daily nkikutana nae lazma apekeupekue siku alipokuta ya kuyakuta sasa,,, anajifanya kulipuka nkamwambia bado endelea hujaona vyote... ukitaka kuona ving fungua inbox ya ”imo” na huko ndio kulikua na majipu balaa ila ukimaliza nichajie simu yng mm nalala...
Akalia weeee karibia kunakucha nkampeti kidogo akatoa cha morning glory mapenz yalipungua lkn bdae alikaa level na maisha yakaendelea mpaka pale nature ilipoamua kututenganisha...
Ila nlimpa funzo ambalo hatokuja kurudia maisha yake yooote na hata huko aliko atakua anatekeleza ilani yng ya mapenz "if we mean to stay, we should stay away from things which will take us apart”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natamani sana kupekua, ila nikishawaza kuwa ikitokea nikakutana na nisichokitarajia sitaweza kuhimili naacha.

Najua siwezi kuhimili maumivu endapo nitakumbana na kitu cha tofauti. Sitaki kujipa maradhi mie maisha yenyewe haya bwana mafupi
Ha ha ha njoo nkupe simu mama, pword ya jf vp hauko interested nayo?
 
Me alipekua kakuta conversation ndefu tunabishana kuhusu kuambukizana gonolea na kulazimishana kwenda kupima na kutumia dawa akachoka mwenyew alikoma kupekua cm yang.....

am better here
 
Exactly, wote waliosema hawapekui simu za wake zao ni wavulana, wale tunaopekua ni wanaume,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipataga mwanamme mmoja anapekua simu yangu kila danga alilokuta nachat nalo alimpigia simu khaaa alikuwa ananiharibia mpaka kwa wale niliokuwa nawatapeligi helaaa

Nikaamua kumwacha aniache na uhuru wa simu yangu

Mpaka leo huwa ananiomba msamaha na mm nilishakataaa kurudiana nayee khaaa kupekua simu anasoma mpaka mambo ya familia yako na nilimuacha kwa sababu hujanioa ushike simu yangu ya nn.

Mtu pekee nitakayemruhusu kushika simu ni mme wa ndoa basiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuoe ili niwe naipekua vizuriiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi na nilichokutana nacho niliapa kuachana na hicho kiherehere kabisaaa maana ilibidi tu niachane nae. Sikuweza tena kumpenda na kila nilikuwa nikimtazama napatwa na hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…