Ulishawahi kupekua au kuchunguza simu ya mpenzi wako au mkeo?

Penzi alilindwi kwa kuchunguzana simu linajengwa kwa misingi muhimu ya mapenzi, na huwezi kumlinda mtu mzima eti asichepuke kwa mawasiliano, kuna watu tabia za ajabu ziko ndani, bora kuambizana ukweli tu.
Coz anajua unaichunguza anatafuta nyingine ya kufanya mawasiliano, mchepukaji atachepuka tu hata umpekue hadi uvunguni.
 
Habari za jumamosi wapendwa...bila ya shaka sote tu wazima wa afya.....na walio na maradhi Mungu awaangazie warudi kwenye afya zao.....

Sote tunajua kuwa ukuwaji wa teknolojia umeleta manufaa kwenye jamii zetu....hata imekuwa rahisi kupashana habari na kurahisisha shughuli mbali za kijamii......

Bila ya kusahau ukuwaji wa teknolojia kwa kiasi kikubwa kumewafanya watu kuwa karibu....na hivyo kuifanya dunia kuwa kama kijiji kimoja......

Lakini kwa upande wa pili ukuwaji wa teknolojia kumeleta changamoto kwenye suala zima la mahusiano.....kwa kuwa urahisi wa mawasiliano umerahisisha mambo mengi sana.....kiasi kwamba kiwango cha uamnifu kwenye ndoa au kwenye mahusiano kimeporomoka....tangu kukua kwa teknolojia....ingawaje kwa namna nyingine imeongeza uaminifu ingawa ni kwa wachache.......

Je wewe mdau wangu ningependa wewe kushare nasi mara ya kwanza ulipopekua au kuchunguza simu ya mpenzi wako au mkeo....uligungua nini na pengine ulichukua hatua gani....baada ya tukio hilo....!!??

Karibuni sana......
mbona wewe hujasema umeona nini?
 
Mm niliwah kupekua cm nilichokutana nacho nikaamin ule usemi usemao wanaume ni kama kitunguu maji ukiwaangalia sana lazima ulie,hivyo huwa cpekui cm ya mwanaume cpend presha
 
Hahaaa!! Yani wanaume bwana, akosee yeye alafu awe mkali yeye, sijui hata kicheko kilitoka wapi, yaani nilicheka, nikageuziwa kibao.
Ha ha ha ni kuwapotezea halafu walivyo wehu wataanza kuweweseka kuwa labda unacheat
 
Back
Top Bottom