Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Ishanitokea tena this aprl,demu kaja geto stor za hapa na pale tukajikuta tupo kwny mahaba ya pesa yotee,mtt nimemnawa vya kutosha hadi anaanguka kama gogo,ila nikimpeleka kitandan anaenda na mzgo hatoi,nliamua kutumia tu democracy na kumuacha aende,imetokea ivo zaid ya mara mbili,ile ya tatu nikajarbu tumia force demu kaondoka kwa hasira....àaah!nikaona ni ujinga ko nikaamua tu kumpotezea,kilichonikwamisha ni baada ya hizo cku kuzamisha dem mwngine ndan ambaye n rafiki yangu tu..ila niliwakuta wapo nje wote kwan wako mapacha na tumepanga sehem moja,kile kitendo kilimkasirisha akawa hata salam hatoi na mm nikajikausha ivo ivo
 
Kuna watu mpo kama kobee!!mi hapo ningepiga kabisaaa inaonesha hujui sound za kumptepetesha demu kwa maneno, me niliwahi kumtongoza demu mpita njia simjui na hanijui na ni mstaarabu alikuwa anaenda kwenye duka flan na anaonekana ana haraka ila nilipiga somo mbaka usoni full kutepeta akabadili njia tukaingia gest nikapiga kinomaa masaa kama matatu hivi, na sio huyo tuu mimi sijui nakipaji hicho mbaka marafiki wakawa wanasema unatumia dawa kumbe ndivyo mungu alivyonijalia naweza nikamsimamisha demu yaani akisimama kunisikiza tu tegemea naondoka naye hapo hapo unashuhudia kabisa sasa sembuse huyo mbaka magetoni kabisaa!!!?
Usisahau WANAOJIUZA TUNAISHI NAO kitaa.

#YNWA
 
dah umenikumbusha,demu kaja geto anaanza kulia eti anasema sikuja kwa mambo ayo kuforce mwishowe akataka kutoka nje usiku,
nikaona nimuache tu,akaniambia next time atakuja rasmi ndio ikawa chenga mpaka leo.
 
Haya mambo haya ... mwanaume wa kiafrika kustaarabika tachukua miaka mingi sana .... Dem kuja ghetto (kwa baadhi lakini) sio tiketi ya kutaka kumlala.usidhani kufanya ngono ndio kutampa mwanamke attention kwako never ever.badilika man usikariri Sana maisha.
Ni wachache sana watakuelewa katika hili..
 
Back
Top Bottom