Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,904
- 33,472
Mkuu kumfikisha mwanamke kwanza lazima awe ana kukubali yani ana hisia na wewe,Ukweli japo kumfikisha mwanamke sio rahisi kama hujawahi na hujawa tayari kujifunza utundu na ubunifu mpya kila siku
Kisha uwe mtundu, alafu na yeye aoneshe ushirikiano kwenye mshuguliko.
Ukijumlisha yote hayo kwa pamoja nakuambia huhitaji kutumia nguvu nyingi kujichosha kwa ajili ya kumfikisha mwanamke.
Shida ya vijana wengi hatujifunzi matokeo yake unabugia midawa alafu mwanamke mwenyewe mwisho wa siku anaona unamchosha tu