nimecheka sana eti uchuro🀣
 
Jamani punguzeni vita ili uzi wetu uendelee na theme yake original,ambao feelings zimeumizwa sameheni tu na muwe na mioyo migumu ya kutoumizwa na comments za JF tena.
 
Daah [emoji28][emoji28]
 
nakumbuka enzi hizo aisee kuna siku nmerud likizo toka chuo, home alikuwepo csta angu tu afu alikuaga mkoloni hatari akiniona namendea kidemu chochote anamind hatari inakua balaa basi dah kitaa nkawa simendei kabisa watoto wazuri nkawa mpole sana. Basi jirani yetu mmoja mchaga alikua na mdogo wake mzuri hatari banah kamtoa uchagani huko anaishi nae hapa akatokea kunizoea sana aisee basi nami nkmazoea kiaina ila nikawa namhofia kimtindo maana alikua mzuri sana aisee af kwao walikua class ya juu kimtindo kuliko home,
Siku moja nko zangu room nmetulia nkasikia hodi nje huko nkatoka nakutana na yeye kanisalimia tukapiga stori mbili tatu akaaga akaondoka basi mi nkarudi zangu room ila kumbe csta alisikia hodi ile sema mi nkawa nmewahi kutoka ila akaenda tulia jikoni akawa anasikiliza maana tulikua karibu na dirishani, basi banah alivyoondoka badae csta akaniuliza alikua anashida gani yule? mi nkamwambia alikuwa ananipa hi tu basi sista akasonya akasema mbn km alikua anajiongelesha tu mh basi nkaona csta mzinguaji mtoto mzuri vile ajiongeleshe kwangu vipi.
Basi kiufupi demu akanzoea mpk akawa anakuja hadi room tunapiga stori anaondoka kumbe csta angu kila akiona demu amekuja anatafuta angle yoyote tu ile ili ajue kinaendelea nn ila hii nlikuja kujua miaka kadhaa mbeleni huko, basi siku moja dem kaja km kawaida yake duh tena siku hiyo akawa mcheshi kinoma duh basi mtoto wa kiume siku hiyo nikajisemea niache ujinga ngoja nimzingue dah dah aisee ilikua noma maana alikua mkali hatari aisee mpk nkajuta maana nkahisi dadangu mie jasusi yule atakua amesikia basi mzee zima nkamwambia demu asepe kweli kanyanyuka akatoka nkabaki nawaza ah mara haijapita ht dk akarudi tena rum ah! namuuliza vipi hajibu, nkamuliza mbn umerudi akasema nmeamua tu mh nkasema labda kabadili mawazo basi nkamsogelea nkamshika shingoni hakukataa wala nn dah nksahau ht km csta yupo aisee nlikua namtamani yule demu aisee basi nlimaliza hamu yote ile cku badae demu akaondoka dah nlijona kidume kweli dat day nkiamini demu alibadili mawazo akarudi nikala mzigo kimasihara nsijue kumbe nisijue kumbe csta alifanya unexpected. Kumbe banah kilichotokea csta alikua ashamsoma yule manzi kuwa anakujakuja kwangu alikua anataka moto na alijua tu kuwa mi namhofia so siku hiyo alipokuja afu mzee baba nkajiongeza nkataka game ye alikua katulia jikoni so bidada alivyozingua alimsikia akajisemea usintanie we umtake mwenyewe mdogo wangu afu umzingue hvyo vp afu ukzngatia ht csta mwnyw anamkubali kuwa mtoto ni mzuri, basi demu alivyotoka csta kamuungia kamdakia nje mzee akamtolea jicho we wapi? demu akajibu naenda nyumban, csta akamuuliza tena mwenzio ushamalizana nae? demu kimya basi csta akamwambia haya rudi ndani mwenzio anakuita, ndio sababu iliomrudisha yule duu nkala mzigo bila kutarajia basi nkawa nae kwe mahusiano km 5yrs akaja akaolewa basi miaka ikapita siku moja nmerudi home nkamkuta yule duh home wanasukana na csta mana nae alikuwa ameru kumsalimia kakake sa kwe stori stori nkawa nankumbusha csta jinsi alivyokua mkali basi demu akakumbuka naye sista alivyomrudisha dat day basi wote wakaanza kunihadithia daaah tulicheka sana aisee kumbe krosi ilipigwa na csta banah, demu akasema nkaona isiwe kesi ngoja nirudi kwanza mbn hcho kilichonileta
 
Big up kwa sister yetuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah sista kama iniesta vipi hupashi wali huo mkuu??
 
Kikao kiliendaje??
 
Hawa wanawake kama ndio kilichomleta mbona ali zingua?

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Aaah kmmmk [emoji23][emoji23]

Mjuba ulimfanyia shambulio la mwili huyo mrembo "kibonge juu mwenye matiti yake" [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] baba nilikimibia kiukweli na lilikuja full kinyama, zile "baby, mume wangu mylove, babaangu pole na kazi, mchana umekula lakini? Kibembe kikaja alipotuma picha duh nilichoka.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] baba nilikimibia kiukweli na lilikuja full kinyama, zile "baby, mume wangu mylove, babaangu pole na kazi, mchana umekula lakini? Kibembe kikaja alipotuma picha duh nilichoka.
Hahaaa [emoji23][emoji23]

Ndo silaha yao hiyo, pisi mbovu zinapendaga kama ugomvi yani [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…