Hii ni zaidi ya hatari!
 
Wahamiaji wengine huwa wamekimbia maeneo yao ya asili baada ya kuonekana wakiwa kwenye foleni za kuchukua dawa.

Mkuu uwe unatanguliza vipimo na kondom kwanza.
 
usikute washachomoa uzazi hapo
 
kfup baharia umepaisha nanga Yan ww ndio umeoa tayar


Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio kimasikhara yenyewe!

Hapa ninapoishi kulikuwa na nafasi ya chumba kimoja cha kupanga, jana usiku nilisikia kwamba kuna mtu atahamia ameshalipia kodi na kila kitu, mpangaji huyo mpya amehamia usiku hata sikupata muda wa kumuona
Imekula kwako..anza kuandaa matunzo kwa mama na huyo mtoto..otherwise uhame hapo
 
Yaan eti haya mashamba yanajudge mtu kwa simu
only Jf...

Humu mtu anatumia iPhone 6 ila analala kwa shemeji yake imagine this


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila kuna aina ya simu ukiona mtu anatumia inahakisi jinsi ulivyo tekino ka7 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…