RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
AiseeNilipoingia form one nilimkuta mkaka wa form three anafanana na kaka yangu vibaya mno, yaani kila kitu kasoro rangi ye alikuwa maji ya kunde. Yaani kila nikimuona ilikuwa lazima nizubae kumuangalia. Nikajua labda macho yangu siku moja nimeingia staff walimu wakaniuliza J ni kaka yako?? Nikasema hapana. Wakasema kama sio kaka yako ni nani yako? Maana haiwezekani muwe hamhusiani kabisa