Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Hongera Kwa uamuzi wa busaraMimi nimeujutia aisee.kaniomba lakini 3 nikamwambia sina naenda msibani nikirudi nitakupa.nimerudi mkuu mtoto wangu akawa amelazwa yote haya nikamweleza lakini cha ajabu bado anakomaa anataka pesa.nime give up mkuu.wacha nibaki na make wangu.
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Je ulishawahi kujutia uamuzi huo?tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/[color =red]kichefuchefu[/color] kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nkaona ntafilisika asee
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Je ulishawahi kujutia uamuzi huo?tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nkaona ntafilisika asee
Hahahaha huyu hastahili hongera yani amerudi kundini kwa wife kwasababu ya kuombwa laki.....otherwise angendelea kula mzigo, Kama unampenda mke wako hutamdanganya na cheating za kizembeHongera Kwa uamuzi wa busara
Bora utulie na mkeo ulee familia
mkuu nilikua nasubiri comment yako tu....shukran kwa kutambua umuhimu wa michepuko hasa mke wa mtu ila utembee na KYKwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
Duh....umetisha mkuu hahaha!Kwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
Dada yangu huyooooooooooooo!!!Hongera Kwa uamuzi wa busara
Bora utulie na mkeo ulee familia
Uko poa wewe????Dada yangu huyooooooooooooo!!!
Niko poa dada angu!.....Akuuuu!,mchepuko sitafuti tena kwa kuwa dada yangu ninaempenda sana ameshanionya!Uko poa wewe????
Usijaribu kutafuta mchepuko Kaka angu, tulia na mkeo