Ulishawahi kujiuliza kuhusu hili...?

Ulishawahi kujiuliza kuhusu hili...?

Habari za mchana huu wapendwa wa MMU..
Yapo mambo mengi tuyafanyayo bila kutafakari upande wa pili kwa kuamini kwamba mabaya hayatatokea kwa sababu hatutaki yatokee(wishful thinking)
Kuna wale wenzangu na mimi wanaochukuana kiwizi-wizi mf. binti anatoka chuo Dar anaenda Mwanza kwa mpenzi wake anakaa wiki au wiki mbili (wazazi wanajua binti yao yupo chuo)
Hebu piga picha inatokea ktk hekaheka za hapa na pale huyo binti anaugua ghafla anakufa...anagongwa na gari au vyovyote iwavyo...binti anatoweka duniani....
Utafanyaje?
Karibu....
namkusanya kwenye kiroba na mtupa porini....:loco:
 
namkusanya kwenye kiroba na mtupa porini....:loco:

Hahahahaaa mkuu umenifanya nicheke sana......wakianza kumtafuta unajikausha....ni lazima uwe na moyo wa chuma aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom