Ulishawahi kujiuliza kuhusu hili...?

Ulishawahi kujiuliza kuhusu hili...?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
61,141
Reaction score
124,727
Habari za mchana huu wapendwa wa MMU..
Yapo mambo mengi tuyafanyayo bila kutafakari upande wa pili kwa kuamini kwamba mabaya hayatatokea kwa sababu hatutaki yatokee(wishful thinking)
Kuna wale wenzangu na mimi wanaochukuana kiwizi-wizi mf. binti anatoka chuo Dar anaenda Mwanza kwa mpenzi wake anakaa wiki au wiki mbili (wazazi wanajua binti yao yupo chuo)
Hebu piga picha inatokea ktk hekaheka za hapa na pale huyo binti anaugua ghafla anakufa...anagongwa na gari au vyovyote iwavyo...binti anatoweka duniani....
Utafanyaje?
Karibu....
 
Hao wa kwenda kimyakimya mara nyingi huwa hawafahamiki kwny familia za wapenzi wao na kwao mpenz wake hafahamiki so akifia huko ni rahisi yule muhusika kukana
 
Unakanaje wakat amefia kitandani kwako?
 
Habari za mchana huu wapendwa wa MMU..
Yapo mambo mengi tuyafanyayo bila kutafakari upande wa pili kwa kuamini kwamba mabaya hayatatokea kwa sababu hatutaki yatokee(wishful thinking)
Kuna wale wenzangu na mimi wanaochukuana kiwizi-wizi mf. binti anatoka chuo Dar anaenda Mwanza kwa mpenzi wake anakaa wiki au wiki mbili (wazazi wanajua binti yao yupo chuo)
Hebu piga picha inatokea ktk hekaheka za hapa na pale huyo binti anaugua ghafla anakufa...anagongwa na gari au vyovyote iwavyo...binti anatoweka duniani....
Utafanyaje?
Karibu....

Risks and uncertainity ipo kwa kila kitu unacho kifanya
 
hiyo inaitwa bailment... is is a service agreement? who is going to be liable for the damage? bailee na bailor, who is the one?

by the way, magistrate court act inasemaje kuhusu kesi hii? scenario nzima ni imaginary, kesi nzima haitoweza kufanyikia sehemu ya tukio kisheria, itabidi irudishwe mahali binti alipokuwa akiishi ili itendewe haki..

kwa kifupi ni kwamba, a matured person, a person over 18 years as stated by the constitution of united republic of Tanzania of 1984, cap, section (will be stated soon), allows every individual to travel prior to information thereof!

The case will be valid if validification will be jurisdified by jurisdiction of the court. (kumbuka sheria sio mchezo wa kamari, kila hatua lazima ifuatwe, na ikamilishwe kabla ya hatua ya pili kuchukuliwa, kama IT vile, system development life cycle ilivyo!)

Mmmh...mkuu hii lugha sasa...sawa kabla hata hujafika huko kwenye court unaanzaje? Unaweza usifungwe maana kilichomuua kitajulikana akishapimwa....lkn kuna usumbufu mkubwa utakaoupata na unaweza kukugharimu kwa kiasi kikubwa....
 
Hivyo ni vitu vya kusimulia wajukuu...mikasa ya ujana

Yes...kama utafanikiwa kuwa nao mana unaweza kufungwa pia....inategemea familia ya binti iko vipi....kama mtoto wa bwana mkubwa ndo imekula kwako....
 
Wapo ilio watokea na wanadunda hadi kesho....kufungwa si hadi uwepo ushahidi? Unafikiri maiti zinazotelekezwa muhimbili ilikuaje?ni kesi kama hizi
 
Hahahaha....kwa hyo unapeleka muhimbili then unakauka as if nothing happened...yataka moyo aisee
 
Kwa hyo utamtoa kitandani kwako unampeleka wapi....unamtupa?

Kama wanawake wanaweza kutupa watt itakuwa mm nishindwe kutupa maiti

Usumbufu utakaopata kama ukijifanya msamaria mwema hapo utajuta lazima ukae ndani sana kabla hujaachiwa
 
Nimewahi kuskia hii habari binti wa chuo from dom kapewa mimba na bf wake wakafanya mpango wa kutoa binti kamfata bf wake huko mwanza pasipo mtu yoyote kujua wakatoa ile mimba bahati mbaya binti kaaga dunia mkaka kadata afanyaje?akashirikiana na dadake kumtupa huyo binti,wazazi tafuta sana mwisho wa siku huyo kaka na nduguye wote mbaroni!!! So mbali na dhambi walotenda hii kitu ya kwenda mahali bila kuaga kwa kweli si nzuri heri umwambie hata mtu wako wa karibu!! Ujana maji ya moto!!! ila Muagage basi!!!
 
Kama wanawake wanaweza kutupa watt itakuwa mm nishindwe kutupa maiti

Usumbufu utakaopata kama ukijifanya msamaria mwema hapo utajuta lazima ukae ndani sana kabla hujaachiwa

Watoto wanaotupwa ni tofauti sana na case hii japo anayetupa mtoto aliye hai ndo mbaya zaidi kuliko wewe unayetupa maiti. Lkn wewe una hali mbaya kwa sababu yule tayari ni mtu mzima anafahamika lazima wapo watakaokuwa wanamtafuta....utajisikiaje unapoona watu wanahaha kwenye matv kutangaza wakat we maiti umetupa....na kumbuka kuna mashosti zake aliowaaga kwamba anakuja kwako....utatafutwa tu
 
Habari za mchana huu wapendwa wa MMU..
Yapo mambo mengi tuyafanyayo bila kutafakari upande wa pili kwa kuamini kwamba mabaya hayatatokea kwa sababu hatutaki yatokee(wishful thinking)
Kuna wale wenzangu na mimi wanaochukuana kiwizi-wizi mf. binti anatoka chuo Dar anaenda Mwanza kwa mpenzi wake anakaa wiki au wiki mbili (wazazi wanajua binti yao yupo chuo)
Hebu piga picha inatokea ktk hekaheka za hapa na pale huyo binti anaugua ghafla anakufa...anagongwa na gari au vyovyote iwavyo...binti anatoweka duniani....
Utafanyaje?
Karibu....

Kwa apa mi naonaga hamna shida, sababu mwanaume anaeza kimbia na ushaidi ukaisha marehemu akazikwa.Imagine bint anapata tu ajali anaumia uko njiani kuelekea mwanza chuo ni dsm kama ulivosema.Hapo atajibuje nyumbani akilazwa kuuguza majeraha.
 
Watoto wanaotupwa ni tofauti sana na case hii japo anayetupa mtoto aliye hai ndo mbaya zaidi kuliko wewe unayetupa maiti. Lkn wewe una hali mbaya kwa sababu yule tayari ni mtu mzima anafahamika lazima wapo watakaokuwa wanamtafuta....utajisikiaje unapoona watu wanahaha kwenye matv kutangaza wakat we maiti umetupa....na kumbuka kuna mashosti zake aliowaaga kwamba anakuja kwako....utatafutwa tu

Kwangu hakufika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom