Hivyo ni vitu vya kusimulia wajukuu...mikasa ya ujana
Kwa apa mi naonaga hamna shida, sababu mwanaume anaeza kimbia na ushaidi ukaisha marehemu akazikwa.Imagine bint anapata tu ajali anaumia uko njiani kuelekea mwanza chuo ni dsm kama ulivosema.Hapo atajibuje nyumbani akilazwa kuuguza majeraha.
Nimewahi kuskia hii habari binti wa chuo from dom kapewa mimba na bf wake wakafanya mpango wa kutoa binti kamfata bf wake huko mwanza pasipo mtu yoyote kujua wakatoa ile mimba bahati mbaya binti kaaga dunia mkaka kadata afanyaje?akashirikiana na dadake kumtupa huyo binti,wazazi tafuta sana mwisho wa siku huyo kaka na nduguye wote mbaroni!!! So mbali na dhambi walotenda hii kitu ya kwenda mahali bila kuaga kwa kweli si nzuri heri umwambie hata mtu wako wa karibu!! Ujana maji ya moto!!! ila Muagage basi!!!
Hilo nalo neno best....sijui unasema nini..lkn unaweza kudanganya nlikuwa naenda kumtembelea rafiki yangu
Kwangu hakufika
Hahahahaa.....so what....?
nimewah kumwona mmoja toka chuo kimoja dodoma kwenda kwa birthday ya mpenziwe mwanza. Alipata ajali mbaya safarini akaambulia kilema cha kudumu. Baba yake alizimia na kufa alipopata taarifa za ajali
hiyo inaitwa bailment... is is a service agreement? who is going to be liable for the damage? bailee na bailor, who is the one?
by the way, magistrate court act inasemaje kuhusu kesi hii? scenario nzima ni imaginary, kesi nzima haitoweza kufanyikia sehemu ya tukio kisheria, itabidi irudishwe mahali binti alipokuwa akiishi ili itendewe haki..
kwa kifupi ni kwamba, a matured person, a person over 18 years as stated by the constitution of united republic of Tanzania of 1984, cap, section (will be stated soon), allows every individual to travel prior to information thereof!
The case will be valid if validification will be jurisdified by jurisdiction of the court. (kumbuka sheria sio mchezo wa kamari, kila hatua lazima ifuatwe, na ikamilishwe kabla ya hatua ya pili kuchukuliwa, kama IT vile, system development life cycle ilivyo!)
Hahahahaa...napandaga chaula na budget....
yan we cjui umesoma chuo gan cha kata halaf unajfanya mwanasheria! Ha2na constitutn ya URT ya mwaka ulio cite hapo juu whch z in use, its jxt constittn ya 77 ndo valid kuiaply cz amendment ishafanyka
Haswaaaa....umejuaje..??
Hahahahaa...napandaga chaula na budget....