Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
Kah walikutoboa mzee na jion tena muuend cinema af kuna dinner hapo.
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
Kuna Manzi aliwahi niingiza huo mkenge kwa bahati mbaya siku nikaja gundua ukweli nilijiona fala sana. Ila nilikuja kumtia shoti mpaka leo ananichukia nami nilimuektia mno akaja niazima 300 nikalala mbele.

NB:yeye alishanipiga zaidi ya 500k huko kwa maigizo yake mbwa yule kumbe mtoto Mbagala kwa Mangaya anaishi kwa shemeji yake.
 
Aisee 500 parefu aisse.. dah
 
Weka neno mkuu
Mwamba kanikumbusha mbali nimewahi ingizwa mjini na mtoto wa mbagala kwa mangaya akijifanya matawi kuna siku nikachoma 187k kwa siku moja kwa ajili yake yaani nilikua kama nimepigwa shoka la kichwa afu baada ya wiki nagundua kiande tu. Nikamtaimu yeye alikua kijumbe wa mchezo nikamwambia nimesahau kadi yangu ya bank somewhere nina shida kama ya laki 4 kesho nitampa yeye akatoa 300k ndo tukaachana hapo.

Yule fala hata nikitaka mgegedo alikua hataki guest za buku 10 au 15 yaani ananipeleka sehemu za gharama yaani unakuta mpaka narudi home 80-100 imekata japo alikua kitandani.
 
Mkuu uliupiga mwingi japo tukarudisha 300k yetu ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Mwamba kanikumbusha mbali nimewahi ingizwa mjini na mtoto wa mbagala kwa mangaya akijifanya matawi kuna siku nikachoma 187k kwa siku moja kwa ajili yake yaani nilikua kama nimepigwa shoka la kichwa afu baada ya wiki nagundua kiande tu. Nikamtaimu yeye alikua kijumbe wa mchezo nikamwambia nimesahau kadi yangu ya bank somewhere nina shida kama ya laki 4 kesho nitampa yeye akatoa 300k ndo tukaachana hapo.

Yule fala hata nikitaka mgegedo alikua hataki guest za buku 10 au 15 yaani ananipeleka sehemu za gharama yaani unakuta mpaka narudi home 80-100 imekata japo alikua kitandani.
Watu makatili sana
 
Nimemkumbuka CHIZI MAARIFA kwenye Uzi wake..

Ila CHIZI MAARIFA yeye Ali fanya bonge la COME BACK aka revenge kihuni ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mm kwenye ujana wangu nilichukia Sana MALAYA na wanawake wenye tamaa..

Mtu akionyesha kuvutiwa na pesa ama material things moyo huwa unapowa kwake kinacho fuatia Ni DEUCES
Chizi Maarifa ni kichaa halafu ni muhuni alimla yule demu tigo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
images (2).jpeg
 
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k

Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu hayaishi mapema.

Tuje kwetu sisi wanaume
Unamtafuta mwanamke kwa gharama zote mwisho wa siku ukinyandua tu mara kaswende, mara AIDs

Unatumia hela nyingi kwa mwanamke papuchi hupewi anakujakupewa mtu mwingine . Tena bure

Unaenda bar unatumia laki mbili kwa siku wakati kipato chako kwa siku 5000.

Unaazima gari la mtu kwenda kujionesha mara limepasuka kioo. Unakuja kulipa na vingenevyo ambavyo hujaviharibu.
Nlitoka msasani usiku saa tisa namfata Damu wangu Mbweni akaishia kunipa Gono
 
Pia, kuna siku demu flani nimejipendekeza sana kumtoa out. Kila siku naforce ila yeye ananikatalia.

Basi iyo siku akasema nipo Sinza hospital nimemsindikiza rafiki yangu. Nikamwambia ata mimi nipo jirani na Sinza dukani kwa mwanangu kumbe ukweli nipo mbali. Akasema njoo tukitoka hosp tukale. Nikasema poa, nikafaka boda.

Nafika ndio wanatoka. Tukasogea mgahawa mmoja wa kifala sana unaitwa Golden Fork.

Story isiwe ndefu, walikula elfu 75. Hafu nikawaitia bolt wakarudi kwao.

Jioni ananitext upo free twende cinema, nikasema hii msg ngoja nipige kwanza nyeto ndio nitajibu.
Dah scenario kama hii imenitokea jana 65k yangu imeenda ivi ivi asee
 
Mwaka x kuna demu wa mwana alikua ananishobokea kichizi kiasi mpaka nikawa namkimbia sasa mazoea yakazidi nikamwambia jamaa yangu kipindi hiki yeye yupo mkoa na atakaa zaidi ya miezi 6.

Akanambia tawanya basi nikamkubalia siku ya siku nikatafuta lodge safi nikaenda nae mpaka maeneo hapo kwenye begi nina kondom na Biolone za kucheki ngoma mweeh sijui uroho gani ulinijia nikajikuta nimekula kavu goli 4.

Asubuhi saa 10 alfajiri nimemuamsha nile cha asubuhi nikala mzigo then nikaenda bafuni kutoka nakuta manzi analia,kuja kumuhoji akanitolea vidonge vya ngoma na kudai ana umeme oya akili ikaruka nikagoma kukubali akanitolea kadi hapo ndo nikaamini. Dah niliacha kila kitu pale hadi simu alikuja kuniletea vitu vyangu kazini maana hata kujua jamaa yangu alimleta kazini ninapojitolea.

Ndani ya mwezi kilo zilipukutika kwa mawazo na ndo ilikua mara ya kwanza kutumia PEP. Kiukweli staki tena kuexperiance ile hali ilikua noma sana.

Baada ya siku kibao za kupima kila siku nikajikuta salama dah nimekoma aisee now lazima nicheki hata aje Rihanna.
 
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k

Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu hayaishi mapema.

Tuje kwetu sisi wanaume
Unamtafuta mwanamke kwa gharama zote mwisho wa siku ukinyandua tu mara kaswende, mara AIDs

Unatumia hela nyingi kwa mwanamke papuchi hupewi anakujakupewa mtu mwingine . Tena bure

Unaenda bar unatumia laki mbili kwa siku wakati kipato chako kwa siku 5000.

Unaazima gari la mtu kwenda kujionesha mara limepasuka kioo. Unakuja kulipa na vingenevyo ambavyo hujaviharibu.
Nachojuta mimi ni kimoja tuu.
Mwaka 2020 kwa stress nikavuta bange mchana jua kali tena ikiwa MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
 
Back
Top Bottom