Avanti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,209
- 240
Hapa tunatumia ID feki tunasahau kuwa teknolojia inakuwa kila siku. Wikileaks waliweza nasa mawasiliano ya siri ya wakubwa fulani fulani. Vipi inakuja tokea wote tunaotumia ID feki tunakuwa exposed, mara unakuta kumbe ID feki iliyokuwa kila kukicha inamwandama Lowasa ni Membe. Au ID feki iliyokuwa kila mara inamwandama Membe ni JK mwenyewe! Tuwe tunawaza mbali pia. Tunayoyaona tunaweza yaficha leo kizazi kijacho kinaweza kuja kuyafanya sio siri wala.Ushauri wangu, hebu tuache tumia ID feki.