Ulishajiuliza maswali haya??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,465
Mfano ungezaliwa mwanaume je ungewafanyia nini wanawake??au ungezaliwa mwanamke ungekuwaje kwa wanaume kutokana na tabia uliyonayo!!
 
Mhhhh hili nalo neno, ngoja waje wenyewe wataalam jukwaa wamwagike
 
Jinsi yangu naifurahia sana, hivyo sitamani kabisa jinsia pinzani kwangu.
 
Kwakuwa nafaham mambo yanayoikwaza jnca yangu ya ss,km ningekuwa tofaut na jnca ya ss nicngewakwaza+wa2 wa jinsia hii
 
nimetuma wakusalimie,barua pia nimetuma usome... Nalog off
 
BAK popote ulipo,hebu tupe lyrics za 'if I was a boy' wa brandy...
Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…