Unahitaji elimu sana, kuna uwezekano mkubwa ukawa mfuasi wa siasa tunazoita maji taka za kuamini kila aliepo ccm ni tajiri na matajiri wote wana mkono wa serikali, ukweli ni kwamba utajiri hauna uhusiano na siasa, hakuna utajiri wowote duaniani una uhusiano na siasa, ila matajiri unaowaona wooote wapo upande wa serikali kwa sababu ya wepesi wa mipango yao kwenda, kwa mfano mm nikiwa tajiri nikiwa upande wa serikali basi issue za vibali, mikataba na usaidizi katika kutoa maoni kwenye serikali kuu hua mrahisi sana na ni kitu cha kawaida, ukisoma biblia kuna sehem inasema Mwenye nacho huongezewa na asie kua nacho anachukuliwa ata kidogo alicho nacho, unfortunately hivo ndo kanuni za maisha zilivo katika upande wa capitalism and there is nothing you can do, ukiachana na kurithi mali wote waliofanikiwa wamepita sehem ngumu sana hivo lazima dunia iwapongeze
ukiachana na tanzania, nchi zote duniani matajiri hua wachache kwa sababu wengi wenu ni wavivu na wapenda kulalamika, matjiri wengi ni productive hivo hua chaguo la kwanza katika uongozi, ukishindwa kufanikiwa jitafakari kila sehem unayoenda maisha ni haya haya utakua maskini kama haujui dunia inaendeshwa vp