Uoga wa kuthubutu na kulinda personality vinawaponza graduates wengi. Binafsi nifanya kazi ya kiupuuzi kwa macho ya wengi ila hii biashara yangu Ina miezi 3, nilianza na 150k mwezi wa tano sasa mtaji ni milion 2.5 hapo nakula na kulipa Kofi ya nyumba humohumo, vocha huwa naweka kifurushi cha 20k.
Utaniambia kuajiriwa vipi nikuelewe!
Milionea wa kesho naona unatafuta madini usadifu ID yakoMishe gan hyo unafanya
Ni rahisi sana kuandika nadharia kuliko ku-experience reality!nchi yetu Tznia imeja fursa za kazi tere kinachokosekana ni entrepreneur ship skills determination, work discipline flexibility and trustworthy.
Watu ni rahisi sana kuandika sababu walikuwa na fursa na rasilimali za kuvuna hizo fursa, wanafikiri dunia yao ndio dunia ya kila mtuNi rahisi sana kuandika nadharia kuliko ku-experience reality!
Hlf lazima uelewe kila mmoja ana ukurasa wake wa maisha hivyo background za wengine kuzibadilisha ni ngumu kidgo hadi awe boosted na mfumo wake wa elimu!
Luck you! Wale walosomea Degree za utamaduni hapa wanakupimia Ka malaikaSikukaa kabisa.
Nilimaliza chuo octoba 31, nikaitwa interview novemba 4, kazin nikaitwa novemba 15.
Mpaka nikatamani niwaambie niacheni kwanza nikapumzike japo miezi 2[emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi tuna background za wazazi wetu kuwa waajiriwa na ujasiliamali ulikuwa Kama kazi za wengine, so kuajiriwa ndo ilikwa ndani ya minds zetu. Real kuibadili hii ni kazi haswa!Ni rahisi sana kuandika nadharia kuliko ku-experience reality!
Hlf lazima uelewe kila mmoja ana ukurasa wake wa maisha hivyo background za wengine kuzibadilisha ni ngumu kidgo hadi awe boosted na mfumo wake wa elimu!
Nimekupata Sana dada. Real ni busara kuwandaa vijana kujiajiri tng mapema. Tunapoelekea sio!Tofauti na nilivyokuwa natarajia kuwa nitasota sana, nilimaliza mwezi na wiki mbili hivi
Nilimaliza chuo Julai, kisha Agosti nina kazi tayari, japo haikua dream job, niliifanya kwa mwaka mmoja na nusu nikaajiriwa kwingine, baada ya mwaka na nusu hivi nikaacha tena nikajiajiri
Sema silaumu waliochelewa kupata kazi au kujiajiri kuwa ni wazembe, maana upande wangu ulichangiwa kwa bahati sana
Kuna ndugu nilimaliza nao chuo nilikuwa nawasikitikia sana nilipokuwa nawaona
Huko mbele mambo yanazidi kuwa magumu zaidi maana ndio 'wasomi' wengi wanazidi kuzalishwa
Mimi wanangu najipanga angalau wakimaliza elimu yao waje kufanya kazi kwenye kampuni ya familia, sio kupitia nilikopitia japo nilibahatika
Hongera..wengine hiyo siku mbili ni miezi 62Najiona mwenye bahati,nilikaa siku mbili tu mtaani baada ya kumaliza chuo nikawa nimepata ajira.