jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Wrong audience.
Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya.
Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa.
Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya.
Tafakari.