IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Naomba msaada Wa anaye jua ishu za kulipa makadirio TRA: MTU kafungua kampuni mwezi August, 2016: akakadiriwa mwezi sept alipe sh 500,000. Kufikia DEC 31: Sasa hajafanya chochote kibiashara, hata hajaanza , anashindwa kulipa Anafanyeje, na atafanyajwe na TRA asipolipa? Msaada tafadhari.