Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Jamani jamani....una nini na mimi lakini? Kosa gani nililokutenda hasa?
Kadi unipa/usinipe tutakutana ukumbini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] ndio maana sikupi maana najua una fujo hata nisipokupa utakuja sasa ya nini nijisumbue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na nitachezaje mbele ya bwana harusi....mpaka utakoma kuninyima kadi.[emoji12]
We cheza tu kwa raha zako ila nitatunga stori ya kumsimulia bwana arusi...maskini huyu dada alikuwaga mtu mzito tu alipata kichaa akawa anaokota makopo kabisa hivi hapo kapata nafuu ndio maana ndio maana anaweza hata kutulia akarembwa.. Mungu amponye jamani arudi katika hali yake ya kawaida
 
Natamani sana nioe, niwe na watoto nafikiria jinsi gani nitakavyo tumia mda wangu na hela kuwekeza kwa watoto lazma wapate elimu bora yeye ubora wa kimataifa...

siyo unawah kuwa na watoto halafu unakuja kuwatelekeza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…