Doh pole, mwanaume akioa mapema naona kama kulast inakua ngum kidogo.
Nimeolewa nikiwa na miaka 18Uliolewa au kuoa ukiwa na miaka mingapi?
Ilikuchukua muda gani kuoa ama kuolewa?
Mkuu nimekuona insta leoIkifika 25 ntaolewa
Toba makubwa hayaMkuu nimekuona insta leo
Hatimaye ile siku imefika mpenziKesho
Mwambie akae mbali na wewe huyo [emoji47]Toba makubwa haya
Unepost picha tatu tu kule instaToba makubwa haya
Mm najulika mkuu wala asiniogopeMwambie akae mbali na wewe huyo [emoji47]
Hahahhahah bas sawa mkuuMm najulika mkuu wala asiniogope
Umetisha mkuu! Ulipofika la saba mwanao yuko la kwanza shule hiyohiyo.Darasa la Kwanza nimeanza nikiwa na 15 huku nina mke nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hatimaye ile siku imefika mpenzi
Ah nashukur umenifananisha mana nilikua nshaanza kuwewesekaUnepost picha tatu tu kule insta
Hauna nissan nyeupe wewe?Mm najulika mkuu wala asiniogope
Ngoja nile ntakuja kuongea na ww kwa kirefuMwambie akae mbali na wewe huyo [emoji47]
Hujamaliza tu kula bbgl ?Ngoja nile ntakuja kuongea na ww kwa kirefu
HahahaMmmh
Ulioa ukafunga na ndoa au mulihamua tu kuishi pmj ?kwa kutambulisha ktk familia zenu.Nilioa nikiwa na miaka 24!
26 huyo mkbwa mbnaDuh uliwahi,upo nae hadi leo?