Ulioa/uliolewa katika umri gani?

Hahahahahahaa hiyo kali..ina maana kabla ya kuolewa ulikuwa huchepuki? πŸ˜• πŸ˜•
Wewe kuna kitu unakitaka, haya ilikuwa hivi mume kaja hom Leo baada ya siku tatu unaolewa, kumtizama usoni tu yani ule ujasiri wa kukutanisha nae macho ni km miaka miwili ndo nikiweza kumuona tu nikaanza kutetemeka
Niliolewa na utepe wangu orijino hope nimekujibu
 
Sasa nikiongozana nao watu hawaamini km ni wangu kweli coz bado nipo sokoni, ndo faida ya kuzaa kwny umri mdogo na haraka then unapumzika, inaufanya mwili usilegee na kuzeeka maana uzazi unachosha na hasa ukiwa na umri mkubwa heheheheeeee
Hongera ila nipe hiyo story full Pm ilikuwaje ukaolewa mapema na usiye mjua sitamwambia mtu akya nani
 
Hongera ila nipe hiyo story full Pm ilikuwaje ukaolewa mapema na usiye mjua sitamwambia mtu akya nani
Ntaileta hapa jukwaani kwani sikuua wala kuvunja sheria sio siri wala aibu kuna itakaowafunza kwa namna moja au nyingine, asante mkuu
 
Sasa nimekuelewa..Mumeo ulimpatia haki yake muhimu maana wengi waliolewa wakiwa screpa..umenichosha vile ulivyosema kuwa ulihisi penzi lake baada ya 5yrs πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Unampoteza
 
kwa hiyo unawashauri watumikeeeee huko ndio waje kuolewa..duuh kwa maana hiyo kauli ya "Kula life kwanza" ni pana mno..kuna mengi yanatokea
 
Sasa nimekuelewa..Mumeo ulimpatia haki yake muhimu maana wengi waliolewa wakiwa screpa..umenichosha vile ulivyosema kuwa ulihisi penzi lake baada ya 5yrs πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
True five years, kuna raha kwa mwanaume kuoa binti mdogo kiumri, kwanza ni hiyo joto la ubikira, kuna uwezekano wa kumfaidi peke yake, lkn kwa muolewaji ni tofauti muda mwingi anakuwa na hofu na woga
 
Was 27,sijawah sijachelewa...akili yangu ilishatulia naelewa maisha ni nini na mwanaume /mume ni nini
 
True five years, kuna raha kwa mwanaume kuoa binti mdogo kiumri, kwanza ni hiyo joto la ubikira, kuna uwezekano wa kumfaidi peke yake, lkn kwa muolewaji ni tofauti muda mwingi anakuwa na hofu na woga
Duuh hili nalo ni jipya kwangu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sasa kapeace utasema ulikuwa hufaidi mnapokuwa kwenye ligi πŸ˜› πŸ˜›
 
Duuh hili nalo ni jipya kwangu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sasa kapeace utasema ulikuwa hufaidi mnapokuwa kwenye ligi πŸ˜› πŸ˜›
Hisia hazipo+ woga+ kisaikolojia sikufurahia kuolewa, nadhani umeona ni ngumu kuenjoy zaidi ya kuunufaisha upande mwingine, Hlf kawaida ke anazoea dushe kwny umri wa 24 na kuendelea ndo hasa hapo unasikia ladha ya dushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…