Nililia sana mwanzoni na kulaani ndoa ile na hata siku moja mume hakuwahi kugundua ni mateso yangu peke yangu niliteseka sana sana na mpaka Leo hakuna anaejua km niliteseka sana mpk pale nilivyoamua kupokea uhalisia, ila ndoa za utotoni ni janga na linatesa saikolojia ya mwanamke maisha yake yoteHadi machozi yananilengalenga pole!! Kapeace
Marahabaaa ni haki yangu kabisa harafu napenda hiyo sana tushikamoo
Hapa nahisi papana sana maaana kuna watu wameoa hana kazi ya kieleweka maisha yake ya kawaida sana na maisha ya ndoa yanaenda lakini wa mshahara wa laki saba anasema BADO SIJAJIPANGA!!!!!kuna mengi mnoo mkuu let say unapkea laki 7 hapo hapo utafute sehem ya kuish na wife ,msosi,matibabu kwa wife km ni mjamzito ,msos na vingie vingi vingi ! yaan vurugu sana mwanzon aisee mayb muwe wote waajiriwa inasaidia
Marahabaaa ni haki yangu kabisa harafu napenda hiyo sana tu
Nshapoadah pole !
HongeraNilioa nikiwa na 26 leo nina 53 nimepata mkwe ninatarajia wajukuu nikiwa bado nina nguvu ya kucheza nao
Umri wako unaruhusu upokee kutoka kwanguhata mimi naipenda sana shikamoo ukijichanganya ukaniamkia naitikia fresh kbs
Na cheni kuuubwa hahahahaaa ndo uolewe na dume wa ivo mbiti bora mapampula na wahenga wetu,ahhahaa kazi kuvaa suruali red tisht red kofia red raba red uwii nachefukwa
AksanteHongera
Pole sana mama kwa magumu na mateso uliyopitia hakika it's so painful mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvuNililia sana mwanzoni na kulaani ndoa ile na hata siku moja mume hakuwahi kugundua ni mateso yangu peke yangu niliteseka sana sana na mpaka Leo hakuna anaejua km niliteseka sana mpk pale nilivyoamua kupokea uhalisia, ila ndoa za utotoni ni janga na linatesa saikolojia ya mwanamke maisha yake yote
Faida niliyoipata ni kudeka na kubembelezwa km malikia lkn upendo haupo kivile,Ila hivi sasa si unainjoi na familia yako?
Na cheni kuuubwa hahahahaaa ndo uolewe na dume wa ivo mbiti bora mapampula na wahenga wetu,
Weka umri kama unakidhi vigezo utapataniamkie basi
Shikamoo Dada mbitihata mimi naipenda sana shikamoo ukijichanganya ukaniamkia naitikia fresh kbs
ShikamooAksante
Yap asante sana mkuuPole sana mama kwa magumu na mateso uliyopitia hakika it's so painful mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu
Marahabaaa safi sanaShikamoo
Pata picha sasa na jipete Hilo kasuruali kamebana vimiguu raba nyekundu T-shirt nyekundu, juu kakunyolea kiduku Halafu ndo umekufa umeoza haleluyaahhaha ah pampula wangu jaman nitasema yoote lakini yuko vzr san kimuonekano !hata dad hakusumbua sana kumpokea !hahha uwii vile vimbano vyao aiseee pyeee
Hajampata wa kufanana naye akimpata watajipanga wakiwa ndani ya ndoaMtu akisema kuoa kujipanga hapa nini anamaanisha....? kwa walioa jamani